1. Shomari, nani kakudanganya huo msemo kwenye nyekundu ni wa Kikwete??
2. Swali lako....."nani aanzishe" = very simple, tuanze kujiorodhesha hapa hapa:
- M-mbabe
- Spencer
- Iwanga
- Ezan
- Stein
- Byendangwero
- King of Kings
- Bruce Lee
- Wewe mwenyewe (Shomari)
- El Nino (huyu tutambeba juu juu kibabe maana anataka kuleta logic nyingi)
Mkuu Nonda
umeelezea mengi muhimu..
Labda nikuulize swali:
unavyosema vyama vya upinzani vibebe hili jukumu unamaanisha nini hasa?
I mean, unazungumzia vyama vipi hasa?
Mkuu kama umenisoma na kunifahamu basi nimesema vyama vya upinzani kwa umoja wao kama vitapata utashi na ujasiri basi hili la maandamano/matembezi ya amani kwa nchi nzima wanaweza kulifanikisha.
Sioni mwengine katika upeo wa macho yangu. Hasa kama msisitizo ni Maandamano ya Amani,tena nchi nzima.
Kukujibu suali lako kwangu mimi vyama vyote vya siasa vilivyo na usajili wa wa kudumu,isipokuwa CCM basi naviita vyama vya upinzani.
Hata kama utarudi na kunimbia CUF wamo ndani ya ndoa. Still kwangu mimi ni Chama cha upinzani.
Vyama hivi kama vitashirikiana katika kuwakilisha manung'uniko ya wananchi,vilio vya walalahoi , kama vitashirikisha asasi,jumuia,vyama vyenginevyo itakuwa vizuri zaidi.Wao wana advantage ya kuwa mitandao, miundo mbinu tayari ya kuwafikia wananchi wengi kila kipembe cha Tanzania.
PS. Vilio, manung'uniko ya wananchi havichagui mwenye chama au asiye na chama. Na wananchi wengi wako tayari kuchukua hatua kufikisha at least ujumbe kwa Serikali lakini hawajui pa kuanzaia. Vilio hivi vinawaunganisha wananchi wote,popote walipo.
Nasema hawa si wa kuchekea wanaiumiza Nchi,
Kwa Asili ni sisi ni matajiri, tunafilisiwa na wapuuuzi
Haiwezekani madudu yote hayo, hakuna hata mwenye hatia ukitoa Liyumba.
Ukinunua soda ya 500Tsh umetoa 90Tsh. kama kodi.
Amkeni, Toeni sauti, Nchi inakwisha.:target:
Are u kidding me???
Just a few weeks ago the wananchi voted for JK and CCM to lead this country till 2015. So are u saying that they would be in a position to change their mind this time around? What makes u think so?
The voice of wananchi must be respected till 2015:bump:
Hivi ule mgomo wafanyakazi na Mgaya wao uliishia wapi???????????????????????????
Are u kidding me???
Just a few weeks ago the wananchi voted for JK and CCM to lead this country till 2015. So are u saying that they would be in a position to change their mind this time around? What makes u think so?
The voice of wananchi must be respected till 2015:bump:
1. Shomari, nani kakudanganya huo msemo kwenye nyekundu ni wa Kikwete??
2. Swali lako....."nani aanzishe" = very simple, tuanze kujiorodhesha hapa hapa:
- M-mbabe
- Spencer
- Iwanga
- Ezan
- Stein
- Byendangwero
- King of Kings
- Bruce Lee
- Wewe mwenyewe (Shomari)
- El Nino (huyu tutambeba juu juu kibabe maana anataka kuleta logic nyingi)
Kimokole we umeongea, kunaweza kuandaliwa Mechi ( sio lazima timu kubwa ) wala sio pakomee uwanja wa taifa na ccm kirumba tu, bali hata viwanja vya mchangani , tena ndio vya muhimu zaidi sababu asilimia kubwa ya waathirika wa ufisadi ndio wapo huko kwenye viwanja vya mchangani.
Jumlisha mwana ukweli pamoja sana.1. Shomari, nani kakudanganya huo msemo kwenye nyekundu ni wa Kikwete??