Maandamano Tunduma tena kuhusu kuchinja nyama

Maandamano Tunduma tena kuhusu kuchinja nyama

Ivi serikali inapata ugumu gani kusema wakristu chinjieni pale nanyi waislam palejust simple like zet. Tatizo mzee wa kaya kaelement kaudini anako ila ni bingwa wa kubisha kwenye media tu. Ha ha ha ha ha ha ha hahaaaaaaaa..............pipoooooooooooooooozi........!
hili likifanyika kuna bucha ambazo hazitauza nyama na nyingine zitakuwa zinauza balaa.
ubaya zaidi je kutakuwa na migahawa tena iliyojitenga kama zilivyo baa za kitimoto
 
Muulize farao kama Mungu alimaliza kwa amani vile vita kwa upande wake.

mkuu ni vyema tukaombea amani nchi yetu si jambo zuri kupigana kila mtu aishe kwa kufuata dini yake mbona sisi kule kijijini tunachinjaga wenyewe bila kumtafuata mtu wa kutuchinjia wasi wasi wangu watajesema tena na wao wavue samaki wenyewe
 
hili likifanyika kuna bucha ambazo hazitauza nyama na nyingine zitakuwa zinauza balaa.
ubaya zaidi je kutakuwa na migahawa tena iliyojitenga kama zilivyo baa za kitimoto
Kwani kujitenga baa za kitimoto ni tatizo? Mbona misikiti na makanisa vimetengana?

Kuna siku muuza vyakula soko la temeke stirio nilimsikia akisema.... nanukuu.... WALALAMISHI KWENYE KUAPNDA BEI YA NYAMA SIKU ZA SIKUKUU NI WAISLAMU, HAWA WENZETU WAKRISTU ILE NYAMA YAO HATA UWAAMBIE INAUZWA TSHS. 20,000/= KWA KILO HAWALALAMIKI, LAKINI KWA MUISLAMU NYA YA TSHS. 5,000/- UKIIUZA TSHS. 5,500/- TU UTAWASIKIA MTAA MZIMA KWA MALALAMIKO.... mwisho wa kunukuu
 
  • Thanks
Reactions: mob
Puuuf!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! amani yetu sasa ni kama mtumbwi unaonyemelewa na Tsunami
 
WANAVYUO WOOOTE SASA KULISHWA nyama ya nguruwe!
Mtaishagaa nchi hii
 
Serikali haina DINI wala Dhehebu! DC ni mburula anajiona yuko juu ya sheria!! Kila mtu aruhusiwe kuchinja! Hakuna mjadala.
 
Baada ya kuvuruga ndoa za watu,sasa walokole wameamua kuwaruga watanzania wote kwa kuja na kauli mbiu ya uchinjaji!
 
Serikali inadhani habari ka hizi sisipoandikwa wala kuonyeshwa na vyombo vya habari, ndo mgogoro utakwisha.
 
Ni w slaa
Kujitambua ni sehemu muhimu sana kwa binadamu, na kujitambua ni pamoja na kufahamu lipi la kweli na lipi si la kweli kwenye yanayosemwa.... Ukiona mtu kwenye ukweli yeye analeta uwongo, basi jua kwamba mtu huyo hajitambui na wala hatambui mazingira yanayomzunguka
 
Maskini mama yetu Tanzania! Where are you going?
 
Baada ya kuvuruga ndoa za watu,sasa walokole wameamua kuwaruga watanzania wote kwa kuja na kauli mbiu ya uchinjaji![/QUOTE

kauli za wanasiasa zitatupeleka kubaya haya yote ni matokeo ya watu kuanza kuchokoza ndo maana na wengine wakaanza kusema na waonahitaji haki ya kuchinja
 
Naskia harufu ya mauaji ya kimbari! Oooh Tanzania.....
 
WANAVYUO WOOOTE SASA KULISHWA nyama ya nguruwe!
Mtaishagaa nchi hii
Hatutaishangaa, kwa mfano, unapokwenda kusoma Peramiho girls Secondary school unategemea usiikute rozali? AU unapokwenda kusoma Kinondoni Muslim au Nuryakin, unategemea usiikute tasbihi? acha kushangaa visivyoshangaza
 
Hayo ndio matokeo ya akili ndogo kuongoza akili kubwa.
 
Hii dhana ya nani achinje inatoka wapi?mbona tumekuwa tukiishi kwa Aman na upendo kwa vizazi na vizazi toka huu ustaarabu wa dini ulipoingia Afrika,,,!!!! Ni nani kaanzisha hii ***** *****? hivi wakristu leo ndio wamegundua kuwa wanatakiwa kujichinjia? na waisilamu leo ndio wamegundua kuwa wakristu huwa wakati mwingine wanajichinjia?

NI UPUUZI KUPIGANA KWA SABABU HII YA KIPUUZI TENA KWA USTAARABU AMBAO SIYO ASILI YETU,,!!WATANZANIA TUNAHITAJI KUBDILIKA,KUNAMAMBO MENGI YAKUPIGANIA KAMA UJINGA,MARADHI,HUDUMA ZA AFYA NA UMASIKINI...SIO KUCHINJA!
 
Tatizo watu wengi ni Wakristo wa majina hawamjui Mungu wanayemwabudu na neno lake, mfano: Biblia inasema katika Hosea 4:6 "watu wangu waangamizwa kwa kukosa maarifa, kwa kuwa umeyakataa maarifa nami nimekukataa usiwe kuhani." Wakristo mwanzoni hawakujua kwamba siku zote walikuwa wanakula vitu vilivyotolewa sadaka kwa mashetani au miungu mingine. Sasa baada ya Mungu kuwajulisha kwamba uchinjaji kwa Waislamu ni ibada na ndio maana mnyama wakati wa kuchinjwa LAZIMA aelekezwe kibra huko Maka, huwezi kuwalazimisha kuendelea kula vyakula vilivyoungamanishwa na miungu ya kigeni/
MAISHA YA MAZURI MUDA MREFU USIO NA MWISHO NI BAADA YA KUTOKA KATIKA DUNIA NA VITU UNAVYOIITA VYA KIPUUZI NDIVYO VINAKUPA NAFASI YA KUINGIA KATIKA MAISHA HAYO MAZURI. UKIENDELEA HIVYO UTAINGIA MAISHA YA SHIDA SANA. Hapa serikali wanapaswa kumaliza jambo hili kwa hekima ndogo tu
 
ina maana huko tunduma hakuna mwenye kuchukua picha walau chache kutuonesha hali halisi.
 
Badala ya kutafuta ufumbuzi watanzania wanatafuta ya bosnia, kwa jambo ambalo miaka halikuwepo, hapa inatakiwa busara itumiwe baina ya wote waislam na wakristu badala ya kulumbana, ughaibuni hamna mambo haya, kama yangekuwepo yangetafutiwa ufumbuzi na yalishafanyiwa ufumbuzi.
 
Back
Top Bottom