Kumbe kuandamana nacho ni kipaji eeh! naona watanzania wa miaka hii nac tumeweza kusomea na kukipata kipaji hiki!
Mwezi wa juzi kinaponda walileta upumbavu wao wakaandamana, wengine wakagomea kuhesabiwa, mwezi wajana napo wanasiasa wa upinzani wakawajaza wananchi ujinga ili wagome gesi isitoke nje ya mtwara kwa kutaka umaarufu! Mwezi wa leo watu wamehamia kwenye jukumu la kuchinja! Mimi ujumbe wangu kwa watanzania nikwamba tufikiri kabla ya kutenda tuepuke tuepuke kuburuzwa alafu wakuumia ni sisi!
Kwani siilikua tangu zamani wamekua wakichinja waislamu? machinjio zote tz wanachinja waislamu, sisi wakristo dini zetu hazituzuii kula alichochinja mtu yeyote, lakin pia sisi wakristo hatujalazimishwa kuchinjiwa na waislamu majumbani kwetu, kwa hili mimi naona hakuna tulichopoteza vinginevyo wakristo tungekua tunalilia usawa katika nafasi za ajira ya uchinjaji sasa kama tumeweza kuvumilia hilo la ajira mengine yanafaida gan kwetu? Kwa maono yangu ni kwamba swala la kuchinja naliona limekuja kama malipizi kwa namna fulan kufuatia viongozi wa kikristo kuuwawa na makanisa kuchomwa lakin kweli halina maslahi yoyote kwa wakristo wala kwa taifa! watanzania tujiulize tulipo toka na tuone tunakwenda wapi, tuache ushabiki, wewe unaeshabikia kuwepo kwa maandamano leo ulishabikia pia swala la gesi bila hata kujua lengo lilikua nini! hebu leo jiulize lengo la kuwaachia waislamu kuchinja ni lip ili hatimae uweze kushabikia! kumbuka ushabiki wako unaumba vifo vya watu kwenye hili ujue atakaekufa kwenye maandamano nawe umeshiriki kumuua!
Serikali nanyinyi mumekua nyuma sana kwenye kuchukua hatua, swala la gesi mlitoa kauli ya kiimla hatimae ikaligharimu taifa! yaani mlishindwa kusema kwanini mumechukua uamuz wa kusafirisha gesi, mlishindwa kwa muda mwaafaka kutoa faida na hasara za kutosafirisha gesi! natumaini mlijifunza hebu hili la nani achinje nalo msilifanye litugharimu zaidi ya hapa!