GAGAGIGIKOKO
Senior Member
- Jul 31, 2011
- 125
- 16
Kawatangazie Rorya huko...hapa siyo mahali pake!
Ninachofanya ni kuwaweka wanajamii sawa! wajifunze kuondoa mentality za kuona kila siku wanaonewa,rejao hivi una matatizo gani?mbona unahitaj msaada mkubwa!!!!ikishindikana i will take u to david Senegal!!!!!!!!!!
nimekaa kwenye bonet...full kumblok dereva!
Junior...karibu JF
Ninachofanya ni kuwaweka wanajamii sawa! wajifunze kuondoa mentality za kuona kila siku wanaonewa,
Kila mtu afanye kazi kwa bidii. Vurugu na maandamaano yanayohamasishwa na wapinzani uchwara haviwezi kuipeleka Tanzania yetu popote!
Ukijitahihidi unaweza kuwa yeyote ndani ya nchi hii...Jiulize, kwani hao walio juu walifikaje?
nakupa saluti mkuu.
Kila siku utaona matangazo ya maandamano hapa jamvini. Utaona matangazo ya kulalamika, kuonyesha kuwa serikali ina waonea.
Hakuna sehemu ambayo haina matatizo. Matatizo kwa binadamu ni kama mzunguko, hayana mwanzo wala mwisho.
Tuwaepuke wapinzani uchwara wanaotumia matatizo yetu kujitafutia umaarufu wa usio na maana.
Kuandamana hiyo ni plan B, je Plan A imeshindikana?. Kiongozi umemchagua mwaka jana tu leo unaanza kumponda, kwani mwanzoni hukujua?.
kakah i think we nipunguani tuuuuu kama Kikwete..!!Ninachofanya ni kuwaweka wanajamii sawa! wajifunze kuondoa mentality za kuona kila siku wanaonewa,
Kila mtu afanye kazi kwa bidii. Vurugu na maandamaano yanayohamasishwa na wapinzani uchwara haviwezi kuipeleka Tanzania yetu popote!
Ukijitahihidi unaweza kuwa yeyote ndani ya nchi hii...Jiulize, kwani hao walio juu walifikaje?
wamejengewa mawazo na viongozi wao kuwa suluhisho la matatizo yao na familia zao yanapatikana kwa njia ya maandamano.nakupa saluti mkuu.
Kila siku utaona matangazo ya maandamano hapa jamvini. Utaona matangazo ya kulalamika, kuonyesha kuwa serikali ina waonea.
Hakuna sehemu ambayo haina matatizo. Matatizo kwa binadamu ni kama mzunguko, hayana mwanzo wala mwisho.
Tuwaepuke wapinzani uchwara wanaotumia matatizo yetu kujitafutia umaarufu wa usio na maana.
Kuandamana hiyo ni plan B, je Plan A imeshindikana?. Kiongozi umemchagua mwaka jana tu leo unaanza kumponda, kwani mwanzoni hukujua?.
Nina wasiwasi kama wanachi wa Rorya wanaelewa kuhusu mchakato wa katiba!
wamejengewa mawazo na viongozi wao kuwa suluhisho la matatizo yao na familia zao yanapatikana kwa njia ya maandamano.