Nipo tayari kuunga mkono ila nifahamishe baada ya hayo maandamano tunategemea ku achieve nini? Hayo matatizo yataondokaje kwa maandamano? Naomba uhusiano wa hayo matatizo na kuto kuandamana ili nikuunge mkono.

Sijaona uhusiano wa moja kwa moja kati ya maandamano unayotaka kuanzisha na matatizo uliyoyaorodhesha hapo chini. Je baada ya kuandamana hayo matatizo yatakuwa yamejitatua?
STRATEGY:
4. Kutengeneza bajeti na kufanya fund raising kwa ajili ya maandalizi ya hayo maandamano

Sisi wa-Tanzania ni waoga kama mbweha.

Tukitishwa kidogo tuu kila mtu anakimbilia uvunguni mwa kitanda.

Nani anaweza kusimama kuandaa maandamano hapa?au tutaishia kulalamika tuu siku zinaenda.
Salaam ndugu wana JF:
Nimejaribu kupitia thread kwa haraka kidogo nami nimeona nitoe yangu niliyoyatafakari kulingana ninyi mnavyowaza:
1) kwanza kabisa inaonekana kabisa wadau wengi sana wanatoa maoni kwa mtazamo wa hasira na chuki juu ya kiongozi(Rais aliyeko madarakani)
2) kwa mtazamo huu wa hasira na chuki points nyingi zinazotolewa are not critical toward the decision to be taken na hii inatokana kuwa watu wengi wanatazama matatizo kwa mtaji wa kisiasa(hii ni hatari sana)
Ni ushauri wangu kwenu ninyi wadau kwamba yawezekana kabisa tusitumie maandamano kumtoa aliyepo madarakani rather tukatumia hili jamvi kutengeneza mkakati wa AMANI kabisa wa miaka 4 ijayo kuelekea uchaguzi mkuu namna ambavyo tunaweza kumpata mtu ambaye tunamwona ni strong then potential akatushikia hii nchi.
Binafsi naona kabisa lets find a source of the problems, hence solutions na siyo nani kashikilia nyadhifa fulani ili tumtoe. Tunaweza tukatumia nguvu nyingi sana ktk kufanikisha hili jambo na tusipate kile tunachokitaka. Please TANZANIAN lets use our MIND of peace.
"HUU NI MTAZAMO TU"

Count me in, nipe date na location

mimi siandamani naogopa kuvunjwa kiuno au mguu! nani? atakaekuja kunilipia matibabu na chakula?
Natamani maandamano yawe hata leo; ila nakubaliano nawe siku ya uhuru ni perfect kwani tutakuwa tunautafuta uhuru wa kweli! Mwageni stratergies ili kila mtu aplay part yake!Kwa nini jamani tusiandamane siku ya uhuru kwa kigezo chakupinga madhimisho ya miaka 50 ya uhuru tufanya makusudi tunaomba kibali cha polis wa kikataa ndo po kuanzia wakuu tunalasimisha nawasilisha amka mtanzania
upupu upupu upupu...ww c ulimpigia slaa kura utakoma na hayo matatizo...cc hatutaki maandamano,,, nchi ye2 ya amani na upendo...hebu semeni maandamano mnaanzia wapi tupeleke polisi we2 wakawavunje miguu, alafu mfanyiwe nanilihii....teh teh tehHii ni hatari,kweli kuna watanzania hawajui source ya matatizo ya nchi hii inachekesha.....tuache ujinga,maandamano ya kumng'oa JK ndio suluhisho.....mimi nita-finance...maji ya kunywa...
maandamano yamemtoa mubarak udiktetani..hivi unaishi dunia gani..hata huwaeshimu waliokufa arusha na kwingine?huyo anae taka maandamano ametumwa aje kutuchochea...hivi maandamano anayasikia au analeta upupu humu jamvini au amechoka kuishi, nampa ushauri akajinyonge au akaombewe au swaumu kali...hebu tuache na TZ yetu sie, kama ni maandamano tushafanya sana tukaambulia patupu, let we find da altenative way f solvng dos problm...nawasilisha kiivo...
facts zimetuzunguka ndugu. au unataka facts toka Pluto?Samahani kidogo mkuu tumia fact hili twende sawa usiogope tupo pamoja mkuu na huo mda wa mpito unaosema tunisia libya misiri awaku na uo muda/kipindi cha mpito sawa mkuu
pm me when u get timehumu jf kuna wana intelegensia waliojipandikiza ambao wanakula bata,(kila wanachokitaka wanapewa kwa kodi za mdanganyika) wangependa kwa kila hali kupotosha na kupinga wazo na mada nzuri iliyoko hapo juu. Najiuliza je hakuna namna ya kutengeneza mtandao au private rooms ambapo walio na nia ya kweli ya mapinduzi wakajadiliana na kupanga mikakati? I am ready to sacrife my life for my sons.
Hamna wabunge? Hamna viongozi? Matatizo hutatuliwa na maandamano? Unanchekesha!