Sijaona uhusiano wa moja kwa moja kati ya maandamano unayotaka kuanzisha na matatizo uliyoyaorodhesha hapo chini. Je baada ya kuandamana hayo matatizo yatakuwa yamejitatua?
Wewe ni fisadi kama hao. Mimi ninaona uhsino tena mkubwa, tena tutaandamana hadi kieleweke. Baada ya maandamano mambomyote yatarekebishika. Nguvu ya umma ni kubwa kuliko unavyofikiri. Nafikiri wewe si Mtanzania halisi.