Tuandamane
JF-Expert Member
- Feb 2, 2008
- 1,220
- 52
STRATEGY:
1.Ku establish organising committee ya watu bold na strong katika kila mji mkuu wa Mkoa na Wilaya
2. Kazi mojawapo ya kamati hiyo ni kuandaa matangazo kwa kutumia media ambayo itawafikia wananchi wote kwa urahisi kwa mfano kutafuta gari la matangazo lenye uwezo mkubwa. Hii ni pamoja na kuandaa posters zenye ujumbe utakao mgusa kila atakayesoma na kumpa ujasiri wa kushiriki.
3. Kuandaa key figures za ku address wananchi na ku launch maandamano yatakayo malizika kwa mkutano mkubwa
4. Kutengeneza bajeti na kufanya fund raising kwa ajili ya maandalizi ya hayo maandamano
Sijaona uhusiano wa moja kwa moja kati ya maandamano unayotaka kuanzisha na matatizo uliyoyaorodhesha hapo chini. Je baada ya kuandamana hayo matatizo yatakuwa yamejitatua?
Sijaona uhusiano wa moja kwa moja kati ya maandamano unayotaka kuanzisha na matatizo uliyoyaorodhesha hapo chini. Je baada ya kuandamana hayo matatizo yatakuwa yamejitatua?
We kijana ukiendelea na katabia kako haki ya mungu.
Naweka pcha yako ya chuoni hapa.
Y utudhihaki kiasi hiki?
MS kazini nini?Sijaona uhusiano wa moja kwa moja kati ya maandamano unayotaka kuanzisha na matatizo uliyoyaorodhesha hapo chini. Je baada ya kuandamana hayo matatizo yatakuwa yamejitatua?
Hope ni Tz spring na si vinginevyo.Nipo tayari kuunga mkono ila nifahamishe baada ya hayo maandamano tunategemea ku achieve nini? Hayo matatizo yataondokaje kwa maandamano? Naomba uhusiano wa hayo matatizo na kuto kuandamana ili nikuunge mkono.
wewe ni sehemu ya matatzo, kwa hiyo hauwezi kuna maana ya maandamo.Sijaona uhusiano wa moja kwa moja kati ya maandamano unayotaka kuanzisha na matatizo uliyoyaorodhesha hapo chini. Je baada ya kuandamana hayo matatizo yatakuwa yamejitatua?
nami pia.Naung mkono hoja 100%