Angel Msoffe
JF-Expert Member
- Jun 21, 2011
- 6,781
- 1,639
- Thread starter
- #41
YATAONGOZWA NA JUKWAA LA KATIBA.iKwa hiyo maandamano yataongozwa na Chadema?
YATAONGOZWA NA JUKWAA LA KATIBA.iKwa hiyo maandamano yataongozwa na Chadema?
Naisikitikia nchi yangu Tanzania! Itapotea kwenye ramani ya Dunia na kuzaliwa nchi 2 yaani nchi ya Tanganyika na nchi ya Zanzibarsi nilisema jukwaa la katiba wametangaza rasi kuwa endapo km serikali ya ccm itasoma mswada kwa mara ya 2 wataongoza maandamano ya nchi nzima.
Dogo umekuja bila tafakuri.. Hadi lunyungu nae unadhani ni ccm. Nakushauri uwe unatumua busara kujenga hoja, wengi walikuja hivyo na matusi na kudandia treni kwambele
lynyungu is never magamba
haya yatakuwa ni maandano ya tatu kwa nchi nzima kuongelewa jamvini..ngoja tuone..
1. WANAHOFU YA KUSTAKIWA KUFUNGWA NA KUFILISIWA MALI WALIZOWAIBIA WATANZANIA. 2. wanataka waendeleze ufisadi na unyanyasaji wa Watanzania.Kwa nini hasa hii serikali inataka kufanya kiini macho kwenye suala la katiba jamani. Katiba ya nchi haihitaji ushabiki wa kisiasa maana kila chama kina katina yake ambayo kikipenda kuichezea kinavyotaka inawezekana. Lakini katiba ya nchi iachwe iwe ya wananchi wote
Kuna kila dalili ya kutokea maandamano makubwa na vurugu za kutosha kama kesho mswada utapelekwa bungeni na kusomwa kwa mara ya pili na hatimaye kupitishwa kwa unafiki na wabunge [ccm]. KAMA SERIKALI YA CCM KM INA MASIKIO ISIKILIZE MATAKWA YA WANANCHI.
Kwa hiyo maandamano yataongozwa na Chadema?
jounegwalu kutokana na ugumu wa maisha na ufisadi mkubwa unaofanywa na serikali ya ccm, na kwa msaada wa chama cha chadema kutoa elimu ya uraia karibu kila pande ya Tanzania sasa Watanzania wa sasa wanauelewa na wanajua haki zao, na pale zinapopindishwa huwa wanazidai.
si nilisema jukwaa la katiba wametangaza rasi kuwa endapo km serikali ya ccm itasoma mswada kwa mara ya 2 wataongoza maandamano ya nchi nzima. HAYA KM CCM HAWASIKII WAENDELEE KUJIDAI VICHWA NGUMU
JIPE MOYO USIKATE TAMAA!iYah naelewa sana, na pia wengine tunafanya kazi ya ziada huku mtaani kuwaelimisha watu. Nimekuwepo kwenye harakati kwa kiasi changu, na mara ya mwisho nilikuwepo pale NMC hadi kinanuka pale! Ndio maana nkasema mi ntacheza nafasi yangu kama raia huru ninayejitambua, lakini pia Angel hawa ndugu zetu wakina Kibamba wamefikia wapi kwenye maandalizi, ukitoa hayo matangazo ya kwenye tv tu? Maandamano nchi nzima ni kitu kikubwa jamani!
Acha ushamba what is chadema? Sisi tutaandamana kama wenyenchi na si vinginevyo........!ikiwezekana chadema waongoze na kuratibu hayo maandamano ili waongeze nguvu... hakina ukombozi umefika...
mswada ukipita naenda kujipiga moto ikulu,.kama kuna mwanaharakati yoyote yupo tayari kumtunza mke wangu na mtoto mmoja anipm
na ikitokea yakatokea,itakuwa mbaya sana kwa serekali coz na wengine wenye hamu ya serekali kuondoka wanaweza kutumia mwanya huo..busara itumike tu kwenye hili
Kuna kila dalili ya kutokea maandamano makubwa na vurugu za kutosha kama kesho mswada utapelekwa bungeni na kusomwa kwa mara ya pili na hatimaye kupitishwa kwa unafiki na wabunge [ccm]. KAMA SERIKALI YA CCM KM INA MASIKIO ISIKILIZE MATAKWA YA WANANCHI.
Tunaelekea kwenye utamu, waliokuwa wanajadili hapo Blue Perl Hotel leo wametoa tamko lao. Tuwasubiri hao wapumbavu tuone watafanya nini hapo kesho kisha tuwe pamoja kwenda mbele na kudai haki zetu kwa nguvu zote.
Bila shaka awike asiwike patakucha tu! Ngoja pakuche!!
Mkuu unafiki umeanza lini ? Chadema hawana haja ya kuandamana ili wakubalike au wapende chart .Katiba ni ya kila mmoja wetu si Chama wala nini taasisi za dini mkuu .Wewe ingia baranarani kwa jina la Tanzania iacheni Chadema kwa hili .
Kaka vijana wananitoa povu hawa. Hawafanyi pembuzi bali wapo kama ngedere ni kurukaruka tuhahahahahaha
mzazi una kazi sana na hao "vijana" wako!
thanks majata... Katiba ni ya woteAcha ushamba what is chadema? Sisi tutaandamana kama wenyenchi na si vinginevyo........!