Kwa nini hasa hii serikali inataka kufanya kiini macho kwenye suala la katiba jamani. Katiba ya nchi haihitaji ushabiki wa kisiasa maana kila chama kina katina yake ambayo kikipenda kuichezea kinavyotaka inawezekana. Lakini katiba ya nchi iachwe iwe ya wananchi wote
sawa mkuu! me mshamba bana....lakini tutakutana kwenye maandamano wote washamba na wew wa mjini kaka!Acha ushamba what is chadema? Sisi tutaandamana kama wenyenchi na si vinginevyo........!