Maandamano makubwa yaanza Algeria leo

Maandamano makubwa yaanza Algeria leo

kw kuanzia TZ internet haitatusaidia cause ni wachache sana wenye access especially waandamanaji wenyewe
Penye nia pana njia. Nguvu ya umma ya watu wachache ikianza,wengine watajiunga kupitia tv za nje kama al-jazeera
 
Yaani it seems ni kama vile MAFIA wanadondosha tawala fulani za nchi, HIVI WHAT WILL HAPPEN baada ya tawala nyingi kudondoka at once?
Je al-qaeda watajiimarisha na kuvuruga amani ya dunia ama?
Je kuna wakubwa wapo nyuma ya mapazia kwa maslahi yao ama?
I fail to understand hususan katika 'arab world', bado sudan, yemen, morocco vs western sahara, Jordan etc..

He yaani ndio unavyofikiri! pole sana.. uko mbali na ukweli juu ya 'nguvu ya umma'
 
mamemwagwa kama 30,000 police mtaani, unafikiri maandamano yatafanikiwa?

Kwani algeria kuna raia wangapi?
na wanao andamana ni wangapi?
wakiwa determined hawashindwi,naona huko ni kama Tanzania tu,polisi kila mara hata unapo ona watu wanadai haki ya msingi
 
Penye nia pana njia. Nguvu ya umma ya watu wachache ikianza,wengine watajiunga kupitia tv za nje kama al-jazeera

Hiyo al-jazeera yanyewe nani ipata tanzania hii?
wachache wenye tv wenakamata TBC
 
Amna chochote jamaa wogaa ile mbaya,yaani wamemiminwa polisi mitaani kama uchafu,waandamanaji kuona hali ni hiyo wameingia mitini
 
Amna chochote jamaa wogaa ile mbaya,yaani wamemiminwa polisi mitaani kama uchafu,waandamanaji kuona hali ni hiyo wameingia mitini
Wamekwenda kujipanga upya na baada ya mda watarudi barabarani kuiendeleza nguvu ya umma
 
mamemwagwa kama 30,000 police mtaani, unafikiri maandamano yatafanikiwa?

Where there is a will.... there is a way.... Polisi 30,000 ni kitu gani kwa mji mzima???? As sure as my death... I believe they'll break through!!!
 
12 February 2011 Last updated at 02:53 GMT
Algeria police deployed ahead of banned democracy rally
_50909314_011081704-1.jpg
Demonstrations are banned in Algeria because of a state of emergency in place since 1992
Continue reading the main story Riot police have been deployed in the centre of the Algerian capital, Algiers, ahead of a planned anti-government rally.
The government has banned the protest, but opposition and rights groups say they intend to go ahead with the march.
Algeria - like other countries in the region - has recently witnessed demonstrations for greater freedoms.
On Friday, police stopped people from gathering to celebrate the fall of Egypt's President Hosni Mubarak.
The BBC's Chloe Arnold in Algiers say the authorities want to avert any popular uprising similar to those in Tunisia and Egypt.
"We are ready for the march," Mohsen Belabes, a spokesman for the small Rally for Culture and Democracy (RCD) opposition party, said.
"It's going to be a great day for democracy in Algeria," he told Reuters news agency.
'Armoured vehicles'
Demonstrations are banned in Algeria because of a state of emergency which has been in place since 1992.
A heavy police presence is normal in Algeria but far more officers than usual were in place hours before the start of the protest at 1100 local time (1000 GMT), Reuters reports.
At least 15 police vans, jeeps and buses were lined up at 1 May Square, where the march is due to start, and about the same number on a nearby side-street outside the city's Mustapha hospital.
Small military-style armoured vehicles were also parked at junctions around the city.
Earlier this month, Algerian President Abdelaziz Bouteflika reportedly said the country's state of emergency would be lifted in the "very near future".
Mr Bouteflika made the announcement at a meeting with government ministers in the capital Algiers, according to the country's state-run media.
He said protests would be allowed everywhere in the country except in the capital.
Are you in Algeria? Are you planning to take part in the protest in Algiers or elsewhere in the country? Send us your comments and experiences using the form below.
 
Demonstations zimeshaanza Algeria ama ndio wanajipanga?
 
Where there is a will.... there is a way.... Polisi 30,000 ni kitu gani kwa mji mzima???? As sure as my death... I believe they'll break through!!!
Tena wakirudi barabarani watakuja kwa kasi ya hajabu sana, na hao polisi watakimbia
 
bado wanajipanga waanzie wapi maaana polisi wametanda mji mzima kama vile Arusha.
Polisi wamemwagwa kila sehemu..duh..
pipoz pawa:coffee:
Demonstations zimeshaanza Algeria ama ndio wanajipanga?
 
Kweli kabisa mkwere ni msanii nami naamini kwamba mwisho wa mkwere umefika sasa
 
Wamekwenda kujipanga upya na baada ya mda watarudi barabarani kuiendeleza nguvu ya umma

Kweli, inaonyesha walikurupuka ila naamini kama wana nia ya dhati hakuna duniani hata kuzimu anayeweza pinga nguvu ya umma!
Sauti ya wengi,,,,,,,,
 
saaafi .......sanaaaaaaaaaaaaaaaaaa. muwaondoe wote.:msela::msela::msela::msela::msela::msela::msela::msela::msela::msela:
 
Yaani it seems ni kama vile MAFIA wanadondosha tawala fulani za nchi, HIVI WHAT WILL HAPPEN baada ya tawala nyingi kudondoka at once?
Je al-qaeda watajiimarisha na kuvuruga amani ya dunia ama?
Je kuna wakubwa wapo nyuma ya mapazia kwa maslahi yao ama?
I fail to understand hususan katika 'arab world', bado sudan, yemen, morocco vs western sahara, Jordan etc..

.
Al-qaeda ni wabaya kweli kweli lakini hata hivyo ubaya wao haujafikia ubaya wa tawala nyingi za kiafrika.
Hebu fikiria nchi kama Tz miaka 50 ya uhuru haijaweza kujenga uwezo wa umeme wa kutosha asilimia 13 ya watumiaji wake. Maji watumiaji ni chini ya asilimia 40 kwa maana ya safi na salama na hawayapati. Shule mpaka leo wanafunzi wanakaa chini tena mjini mithili ya enzi za kina Abraham na Yakobo, vijijini sijui ndo itakuwa vipi. Hospital mama mzazi anatakiwa aende na syrange mpaka na makarai ya kuogesha mtoto. Mambo yaliyo katika hali ya kibaribaiki ni mengi mno. Huku kwa upande wa pili wa shilingi serikali ikijitapa kukusanya mapato ya billion 500+.
Lakini wamekuwa wahubiri wakuu wakuwataka wale watoa kodi kibinafsi kuchangia huduma za jamii. Swali ni wapi makusanyo ya taifa(budget) kwa kila sector zinapotelea?
Watendaji wa namna hii na Osama ni nani mbaya zaidi?
Nasema Osama kwa hawa watu ni malaika wa nuru!!.
 
All the best Wanamabadiliko wa Algeria..
 
Back
Top Bottom