Maandamano makubwa yaanza Algeria leo

mshikachuma

JF-Expert Member
Dec 2, 2010
2,853
626
Maandamano mengine ya kumtimua Rais wa Algeria na chama chake
yameanza mji mkuu wa nchi hiyo. Na hadi sasa kuna baadhi ya watu wana
shikiliwa na polisi. Source- Al-jazeera tv. Some mo news to come
 
Yaani it seems ni kama vile MAFIA wanadondosha tawala fulani za nchi, HIVI WHAT WILL HAPPEN baada ya tawala nyingi kudondoka at once?
Je al-qaeda watajiimarisha na kuvuruga amani ya dunia ama?
Je kuna wakubwa wapo nyuma ya mapazia kwa maslahi yao ama?
I fail to understand hususan katika 'arab world', bado sudan, yemen, morocco vs western sahara, Jordan etc..
 
Kaka hapa hakuna cha al-qaeda wala wakubwa fulani nyuma ya pazia' Ila wananchi wamechoka kubuluzwa
 
binafsi naamini you cant force revolution. I think it came about the right time in Egypt, it doesnt necessary mean it will work elsewhere. Inawezekana kabisa mda wetu bado...
 
mamemwagwa kama 30,000 police mtaani, unafikiri maandamano yatafanikiwa?
 
binafsi naamini you cant force revolution. I think it came about the right time in Egypt, it doesnt necessary mean it will work elsewhere. Inawezekana kabisa mda wetu bado...
Yaah mda wetu bado,lakini uko njiani unakuja na uko very close from today
 
hahahahahaha,this is giving me happiness today huhuhuhu!

Zimbabwe mpooooooooo,....na Uganda jeeeeee?
 
QUOTE=Mantisa;1614304]Mbona nasi tuko mbioni? We are tired of blah blah kwa kweli[/QUOTE]

Tutaanza kuwasha moto wa mapinduzi kuanzia 24/02/2011 hapo jijini mwanza. Hata kama ni siku arobaini tutakaa kudai mkwere aondoke. Tumechoka na usanii. Serikali iliyojaa ufisadi na uporaji wa haki za watanzania
 
kw kuanzia TZ internet haitatusaidia cause ni wachache sana wenye access especially waandamanaji wenyewe
 
QUOTE=Mantisa;1614304]Mbona nasi tuko mbioni? We are tired of blah blah kwa kweli

Tutaanza kuwasha moto wa mapinduzi kuanzia 24/02/2011 hapo jijini mwanza. Hata kama ni siku arobaini tutakaa kudai mkwere aondoke. Tumechoka na usanii. Serikali iliyojaa ufisadi na uporaji wa haki za watanzania [/QUOTE]
Naungana na wewe kuu. This is very good sound from u
 
Back
Top Bottom