frema120
JF-Expert Member
- Jan 1, 2012
- 5,098
- 1,341
Wadau nimepita tazara to airport nimeona maandamano makubwa sanaa, ya wanafunzi yakielekea buguruni via Nyerere road to mandela.
Niya nini sijui, naona vijana wamepaniki kweli
Niya nini sijui, naona vijana wamepaniki kweli
Hao walikuwa hapo Karume mataa, walikuwa wamelala chini wakizuia magari yasipita na kusababisha foleni kubwa sana, mapolisi walijaa kweli. Mpaka walipofunguliwa geti pale ofisi za manispaa sijui ndio wakainuka barabarani.
Nasikia ni wanafunzi toka kipawa, watakuwa ndio wanarudu baada ya shida yao kusikilizwa na wahusika. nasikia walikuwa wanalalamika ukuta wao kuvunjwa na jiji sijui.