Maandamano makubwa ya waislamu Musoma mjini leo hii

Waandamane jinsi wapendavyo, ni haki yao bali la msingi waache kushambulia watu wengine na mali zao na waache kauli za uchochezi kuhamasisha uvunjifu wa amani.

Sidhani kama waislamu wangeamua kuandamana hata 24x7 wakitangaza uzuri wa Allah, Muhamad (SAW), Pepo, n.k. kwa mujibu wa imani yao kungekuwa na tatizo lolote.

Mwislamu ukihubiri Nabii Issa siyo Mungu hiyo ni sahihi kabisa kwani ndivyo Qur'an isemavyo. Lakini mwislamu unapoanza kuhubiri Yesu sio Mungu na kuanza kutafuta mistari ndani ya Biblia kuthibitisha hilo, hapo panakuwa na tatizo!

Jumuiya iliyosajiliwa kwa ajili ya kueneza dini inapoanza kuhubiri siasa kupitia mlango wa dini hilo nalo ni tatizo. Otherwise, nawatakia maandamano mema ya amani kwa ajili ya kuitangaza dini yao.

Ni kweli Issah si Mungu lakini YESU ni Mungu.
 
tatizo lenu ndio ilo nani kakwambia musoma waislam ni wachache? watu wakisema tuesabiwe sensa pamoja na dini zao mnaanza kumbwela mbwela! LKN HUKO TUNAKOELEKEA KITAELEWEKA TU
 
.

Mwislamu ukihubiri Nabii Issa siyo Mungu hiyo ni sahihi kabisa kwani ndivyo Qur'an isemavyo. Lakini mwislamu unapoanza kuhubiri Yesu sio Mungu na kuanza kutafuta mistari ndani ya Biblia kuthibitisha hilo, hapo panakuwa na tatizo!

i
si fikiri kama imeandikwa hivyo kwa aya hasi kwamba Nabii Issa , siyo Mungu, bali kwa aya chanya yenye kumuongelea Nabii Issa kama ni mojawapo wa Ma Nabii wa Mungu.
 
Jana walikuwa wanapita mitaani na kutangaza kuwa "leo saa nane na nusu watakuwa na Mkutano mkubwa sana katika uwanja wa Mukendo na Kongamano hilo haliwahusu "Mayahudi" na "Wakristo" kwa jisi hali ilivivyo na mwenendo wa hawa jamaa kuonesha chuki za wazi wazi dhidi ya watanzania wenzao sijui nchi hii tunaelekea wapi??

Bangi ukivuta na jua kali zinateesaaa!. Hivi Mayahudi wanatoka wapi hapa TZ kama si ushetani?. Huu ni ujinga wa kuiga iga kila kitu!. Mpalestina anapoandamana dhidi ya myahudi anaeleweka. Wende shule hawa jamaa waache upuuzi!
 
Waandamane jinsi wapendavyo, ni haki yao bali la msingi waache kushambulia watu wengine na mali zao na waache kauli za uchochezi kuhamasisha uvunjifu wa amani.

Sidhani kama waislamu wangeamua kuandamana hata 24x7 wakitangaza uzuri wa Allah, Muhamad (SAW), Pepo, n.k. kwa mujibu wa imani yao kungekuwa na tatizo lolote.

Mwislamu ukihubiri Nabii Issa siyo Mungu hiyo ni sahihi kabisa kwani ndivyo Qur'an isemavyo. Lakini mwislamu unapoanza kuhubiri Yesu sio Mungu na kuanza kutafuta mistari ndani ya Biblia kuthibitisha hilo, hapo panakuwa na tatizo!

Jumuiya iliyosajiliwa kwa ajili ya kueneza dini inapoanza kuhubiri siasa kupitia mlango wa dini hilo nalo ni tatizo. Otherwise, nawatakia maandamano mema ya amani kwa ajili ya kuitangaza dini yao.

Big up!!!
 
thubutu yake mbona mabomu yako ya kutosha tena ffu wanahamu sana maana hawafanya mazoezi muda mrefu!jokes! Mbali na hapo msm waisalamu wawe wengi wa wachache haisaidii kitu ndg zangu muhimi tujenge tanzania yetu yenye umoja na upendo kwa wote.
 
Sidhan kama uliwaza kw kina dudus ktk paragraph ya 3 eti "Yesu sio Mungu" Biblia iko wazi kuwa Yesu ni mwana wa Mungu hvyo ni MUNGU, Mungu mwenyew kathibisha ilo, Malaika, Mitume, Makuhani, Manabii na adi mapepo yamekil kua YESU ni Mungu. Soma Mathayo 3:17, 14:33, 17:5. Mark 3:24, 5:6-10, 8:27-29. Yhn 3:31-36, 18:28-38.
 
Last edited by a moderator:
Musoma na waislam???Waislam wa musoma mamba mmoja mwenye njaa kidogo anawamaliza wote
 
Back
Top Bottom