Maandamano makubwa Songea!

Hali ni tete hapa songea polisi imejeruhi watu na sita nimeshuhudia wakiwa wamekufa ni hali ngumu sana kwani ni mabomu na risasi ndo zinarindima kuzuia maandamano ya wananchi wanaolitaka jeshi la polisi kuwajibika kwa vifo vya raia vinavyofanywa na kundi la siri toka msumbiji!
 
poleni watu wa Söngea. Mtakapopata nafasi ya kuitoa hiki chama madarakani msifanye kosa tena.
 
libya maandamano yalianza mtu moja tu jamaa serekali jipangeni mtakuja kukimbia office zenu na suti zenu tz inawatu wengi kushinda hao polis wenu hamuoni mifano kuna mtu alifikiria kama gaddafi atakimbia kama panya kwenye mitaro msizarau kikiwaka hakuna na igp wala Nani kila mtu atakimbia
 
Too bad...
Hao watu wa Songea ndio ccm sana, ni wakati wa juu sasa wajue mfumo wa utawala uliopo si rafiki na raia wa kawaida!
 
Tayari hadi sasa Raia mmoja ameshafariki kwa kupigwa risasi na polisi hali ni mbaya kupindukia.FFU wamejaa mji mzima wa songea wakitoa kichapo kwa Raia wema,wasio kuwa na hatia.

waongee vizuri tu hao maaskari inawezekana ni wamoja wao..RIP mliopigwa na risasi za polisi na wale wote mliouwawa..😛ray:
 
Sheria za kimataifa zinasemaje kuhusu haki ya watu kuandamana? hawa polisi au mkuu wao hawapashwi kushitakiwa kwa haya mauaji waliyofanya juu ya mauaji?!!!
 
Bila kificho hata shepu zao zinaonyesha haya majamaa ni mauaji makubwa.
 
Viva JF,kupitia mtandao huu Watz tutaungana kwa Pa1 nafurahi vile kila mkoa kuna memba wa kutosha,bila shaka kiwilaya pia,itakapofika kimtaa na hatimaye kikaya,tz itakuwa imefunguka ktk minyororo ya kifisadi,kibabe na udhalimu.
Mtz aliye ulaya anafaham sasahv kuwa songea si shwari,haya ni maendeleo.Tukumbuke kuwa maadui wa nchi hii hawapendi mafanikio haya,hvyo kama ambavyo wapgania haki wanadhurika basi yawezekana hata JF inatafutwa kwa udi na uvumba.
MUNGU IBARIKI JF
MUNGU IBARIKI TZ
 
na huyu ameisha aga dunia, hapo ni jirani na bombambili

 
haki haipatikani ukiwa umelala kitandani.

Songea piganieni haki yenu.

Mungu bariki tz.

Ameni
 
Police wa siku hizi wanakuwa kimaslahi yasiyokuwa na maana na hayaendani na kiapo chao
 
Its time the hague considers taking our president for poor leadership that has led to various death, e.g arusha, dodoma, songea and all other during the doctors strike, im not a lawyer thou,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…