maandamano kwa jobless

Mie naona ni ujinga mkubwa...kwa nini msianzishe mchakato wa kutafuta njia za kujiajiri?Je mkishafanya hayo maandamano ajira zitapatikana???
 
kuna mpango wa kuanzisha maandamano makubwa kwa vijana wasomi wasio na ajira.wewe hili unalionaje?

Yafanyike ili kuonyesha tatizo halisi, mwenye kazi ndo anayepinga hilo sio kutudanganya kwa takwimu zisizo na tija, "ashibaye hamjui mwenye njaa"
 
mie naona ni ujinga mkubwa...kwa nini msianzishe mchakato wa kutafuta njia za kujiajiri?je mkishafanya hayo maandamano ajira zitapatikana???
mama lwakatale anajiri ila unakuwa unasafiri kwenda ulaya kuleta mzigo tumboni mwako,kwa wanoweza mtafuteni,.ndiyo maana kunawaziri flani alionesha utofauti wa vujana wa kutanzani wakitaka kusafiri ni mwendo wa kukwea pipa ulaya ,amerika etc.
 
Mie naona ni ujinga mkubwa...kwa nini msianzishe mchakato wa kutafuta njia za kujiajiri?Je mkishafanya hayo maandamano ajira zitapatikana???

sema ww watu wajiajiri kiaje.ucwe km wale tunaowaongelea kila cku wanaoongea tu bila kuonesha solution za kufanya hvyo.
 
sema ww watu wajiajiri kiaje.ucwe km wale tunaowaongelea kila cku wanaoongea tu bila kuonesha solution za kufanya hvyo.
kwani hao wanauza nyanya wanafanyaje?au unaona noma?......kweli nakwambia....wazo la maandamano litakuongezea frastrurations...labda kama ulikuwa unatutania......kwa kuanzia anza kufanya research kwa wafanyabiashara kama watano wa biashara unazipenda...then in the process utapata ideas nzuri na pia ugumu.jishughulishe..
 
wanaharaki naomba mlishughulikie ilo swala as soon as posible vijana wapo wengi sana hata ukisema uanzishe jeshi la jobless linaweza kuzidi JW.
 
wanaharaki naomba mlishughulikie ilo swala as soon as posible vijana wapo wengi sana hata ukisema uanzishe jeshi la jobless linaweza kuzidi JW.

Itaonekana kuwa Tanzania mtoto wa darasa la saba ana upeo mkubwa kuliko mwenye degree.
Tutajidhalilisha wasomi wa nchi hii.
 
acheni zenu nyie.hii nchi yetu wote,kila cku tunaskia mara madktali au waalimu wanafanya mgomo au maandamano.sasa ni lazima na sisi tufanye hivyo kuonesha hisia zetu kali juu ya hili suala.
 
kwani hao wanauza nyanya wanafanyaje?au unaona noma?......kweli nakwambia....wazo la maandamano litakuongezea frastrurations...labda kama ulikuwa unatutania......kwa kuanzia anza kufanya research kwa wafanyabiashara kama watano wa biashara unazipenda...then in the process utapata ideas nzuri na pia ugumu.jishughulishe..

kumbuka anayeuza nyanya ana mtaji.
 
Mie naona ni ujinga mkubwa...kwa nini msianzishe mchakato wa kutafuta njia za kujiajiri?Je mkishafanya hayo maandamano ajira zitapatikana???

dada hayo matusi ila kumbuka unandugu kwahiyo we ukiwa na kazu kumbuka kunawatoto zako wanakuja hawana ajira
 
Mimi nashangaa sana siasa za bongo nilitegemea zile posho walizokuwa wabunge wa chadema wanasema hawazitaki hawa chadema kama kweli wana nia ya kusaidia wananchi kwa vitendo zingetumika kuanzisha vikundi vya ujasiriamali ambavyo vingewakwamua wananchi kiuchumi badala yake wamejifanya hawazitaki huku wanazitia kibindoni kimya kimya!
 
kumbuka anayeuza nyanya ana mtaji.

Ni mtaji ambao kwa kuanzia ni rahisi kidogo kuupata kwa mtu mwenye nia labda alietoa wazo atuambie kuuza nyanya akiwa na maana kuzitoa Iringa kwa fuso kuleta Dar au kuuza mafungu ya nyanya uraiani kwa kuzitoa soko kuu? Ila kwa hali ilivyo inabidi walio ofisini na graduate kama walivyojiita jobless wawe wanafikiria kuwa na wazo la kujiajiri kwani kunalipa si unajua tena ukiajiriwa mambo ya PAYE yanatia hasira mfano mzuri mtu akabahatisha mshahara wa 3million anaweza changia PAYE si chini la laki 7 kwa mwaka karibu 8 million kodi wakati mfanya biashara mwenye mtaji wa 40 milion hata million moja kwa mwaka kodi haifiki
 
dada hayo matusi ila kumbuka unandugu kwahiyo we ukiwa na kazu kumbuka kunawatoto zako wanakuja hawana ajira

Tatizo la watanzania wanapenda kudanganywa na wakiambiwa ukweli wanaona wametukanwa...Ngoja nikae kimya niokoe muda wangu maana muda ni mali nao.Andamana salama uone kama itakutoa kimaisha.tena naruhusu hata mpewe askari wawasindikize na wasiwazuie....
 
we dada na hzo nyodo zako mungu anaweza akakulaani ukashangaa cku unaamka ukakuta kibarua chako kimeota nyasi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom