Maandamano Kumpinga Kikwete

Maandamano Kumpinga Kikwete

Sitetei kitu hapa na unanishangaza unaposema natetea..ndio maana nimekuuliza natetea yepi..huenda umenifananisha.

Nilichosema ni kuwa mdau ametoa hoja zake kuhusu maandamano ya watu wasoridhishwa na utawala ..na wewe ukarukia kuanza kuleta mambo ambayo ni out of context..

That's why I told you hujui unachokitetea na bado pia hujui unachokiongea.
Haya endelea sido i'm not here kufanya hizi cheap arguments
Kwaheriii
 
That's why I told you hujui unachokitetea na bado pia hujui unachokiongea.

Sasa wewe unayejua ninachokitetea na kukiongea umeshindwa nini kukitaja?

Haya endelea sido i'm not here kufanya hizi cheap arguments
Kwaheriii

lol..naona imekuchukua muda kidogo kubaini kuwa umeleta cheap arguments a.k.a upupu hapa jamvini..msg sent... 😀
 
Lini wana JF tusioridhishwa na utawala wa JK tutashika mabango na kuandamana kuupinga utawala huu ulioshindwa kufanya kazi tukimtaka aondoke pale magogoni? Aachie ngazi.

Mkuu Kaniki,

Hili tumeliongea siku nyingi sana. Mimi mwenyewe niliwahi kusema kuhusu suala la Mengi kuwataja mapapa kwamba kwa nini asingeamua kusimama tu pale Mnazi Mmoja ili tumpe shavu na kumaliza kazi? Tatizo ninaloliona ni kuwa tumekosa Rajolina wetu. Siku tukimpata tu, hii kazi itachukua sekunde. Wote tumechoka sana ila tunategeana ili tuone nani atamfunga paka kengele. Kama yupo humu ndani basi ajitokeze na aseme wazi tu ili tumpe support.
 
Kizazi hiki hatapata kutokea
 
Maandamano ya nini wakati uchaguzi mwakani??? Kama watu kweli hatumtaki ni kumpigia kura ya hapana mwakani. Maandamano yetu uchaguzi 2010 na mabangi yetu ni kura. Cha kufanya ni kuhamasisha watu wote waliochoka na utawala wake wasimpigie kura tena mwakani.

Unakumbuka nini kilitokea South Africa last year kuhusiana na Thabo Mbeki? Unataka kuniambia wao hawakujua kuwa mwaka huu kuna Uchaguzi huko bondeni?
 
Hivi hakuna agenda ya maana ya kuongelea?Maandamano yanaruhusiwa anayetaka afuate taratibu.JK si Nyerere,si Mwinyi wala Mkapa.Katika maandamano haya hatakufa mtu ,hakutakuwepo wakimbizi wala unyanyasaji wa watu kwa sababu huyu ni JK!
 
Pundamilia anaweza kuwa alishinda kwenye viti virefu jana

Angelewa pombe si ingekuwa asavali? Watu wa dizaini yake wanajulikana hapa JF, dizaini za akina Kasheshe et al. Mimi hawaninyimi usingizi..wakiingia kwenye mataruma ni kuwapa ukweli wao..kama wanaamua kusaga vyupa juu yao.
 
KANIKI,
Ninyi msioridhishwa na utawala wa Kikwete mkimaliza kuandamana na sisi tunaomkubali, tutaandamana pia.
Haya anzeni.

Ndugu yangu umeelewa hoja ya Kaniki lakini? Naona kama umeingia choo cha jinsia isiyo yako mkuu!
 
Kizazi hiki hatapata kutokea

Kwa hiyo Mkama unajaribu kusema kuwa tumefika Kigoma mwisho wa reli? Kama ni hivyo hatuna sababu ya kuendelea na mapambano kama hakuna uwezekano wa kupata mtu wa kutuongoza. Hata hivyo sina imani kwamba matumbo ya mama zetu wa Tz zaidi ya milioni 10 hayawezi kuzaa mtu mwenye akili na ujasiri badala yake wanatoa mazezeta tu! Tujipe homework na pia kujitafakari sisi wenyewe kama kweli hatuwezi, badala ya kukaa chini na kuanza kufuta machozi na makamasi kama mataahira. Mafisadi wakijua hilo watawahi kwenye viti virefu na kuendelea na mvinyo.
 
Ndugu yangu umeelewa hoja ya Kaniki lakini? Naona kama umeingia choo cha jinsia isiyo yako mkuu!

NEXT LEVEL,
Embu nionyeshe muelekeo nimeuacha wapi?
Naona kama hutaki kupanua mawazo yako usomapo mada.Tafadhali pepesa macho.
 
Hivi huoni kuwa wewe ndiyo unaongea tu na hufanyi vitendo?

ulitakiwa uje hapa na ushahidi kuwa umeandamana kupinga utawala wa JK, don't waste your time kwa kubishana hapa kwenye forum, nenda ukaombe kibali kwa Kova haraka tu.

Zebra kwanini umshambulie jamaa kwani umelazimishwa kuchangia hoja au ni lazima uwepo kwenye hayo maandamo? IN CAPS, MIMI PIA NAPINGA UTAWALA WA KISANII WA JK NA NIMECHOKA KULIKO MAELEZO HII NCHI C YAKE NA MAFISADI BALI YA WATZ WOTE. IKIBIDI HATA KUCHANGIA HAYO MAANDAMANO NITACHANGIA KWA HALI NA MALI.
 
Lini wana JF tusioridhishwa na utawala wa JK tutashika mabango na kuandamana kuupinga utawala huu ulioshindwa kufanya kazi tukimtaka aondoke pale magogoni? Aachie ngazi.

NEXT LEVEL,
Embu nionyeshe muelekeo nimeuacha wapi?
Naona kama hutaki kupanua mawazo yako usomapo mada.Tafadhali pepesa macho.

Angalia hapo juu kwenye blue & bold........! Wewe hupo kwenye kundi hilo mkuu....ulichokisema wewe ungeweza kukianzishia thread yake......! thread hii ni kwa wale wasioridhishwa na utawala wa JK ndio mkuu Kaniki anaomba maoni yao!
 
Zebra kwanini umshambulie jamaa kwani umelazimishwa kuchangia hoja au ni lazima uwepo kwenye hayo maandamo? IN CAPS, MIMI PIA NAPINGA UTAWALA WA KISANII WA JK NA NIMECHOKA KULIKO MAELEZO HII NCHI C YAKE NA MAFISADI BALI YA WATZ WOTE. IKIBIDI HATA KUCHANGIA HAYO MAANDAMANO NITACHANGIA KWA HALI NA MALI.

Bobby,
Swala siyo kumshambulia, ni mtazamo wangu juu ya maoni yake na hili ndiyo inavyotakiwa kwamba kama ninamtazamo tofauti niuleleze na yeye awe mvumilivu wa kupokea mawazo tofauti.
Kwa mfano kabla sijafyatua hiyo reply aliniambia kuwa mimi ni mtu wa maneno matupu, sasa unategemea jibu langu lingekuwa tofauti na nilivyomjibu?
Kama yeye ni arm chair general aendelee kuwa hivyo vinginevyo aende akaombe kibali kwa Kova aandamane ili aweze kutii kiu yake.
Kama alianzisha hii thread kwa kupata mawazo yaliyo sawa basi hakuwa sahihi.
 
Last edited:
Angalia hapo juu kwenye blue & bold........! Wewe hupo kwenye kundi hilo mkuu....ulichokisema wewe ungeweza kukianzishia thread yake......! thread hii ni kwa wale wasioridhishwa na utawala wa JK ndio mkuu Kaniki anaomba maoni yao!

NEXT LEVEL,
Mbona leo unakwenda kinyume nyume?
Hapa JF wazo likianikwa, linachangiwa kutokea kona mbalimbali.
Walioko kinyume na mada hawalazishwi kukaa kimya.Hata kuonyesha tofauti ya mawazo ni mawazo.
Cha msingi acha tuipeleke mada vyovyote, kwani kuna wanaotuelewa.
Tukiendeleza kubishana, tutapoteza lengo la uwanja huu.
 
Lini wana JF tusioridhishwa na utawala wa JK tutashika mabango na kuandamana kuupinga utawala huu ulioshindwa kufanya kazi tukimtaka aondoke pale magogoni? Aachie ngazi.

Yap mkuu tuko pamoja. Hili suala ni muhimu kufanyika na tena lingefanyika kabla ya uchaguzi lingeleta picha halisi na mwelekeo wa uchaguzi mwakani.

Achana na PUNDA- MILIA. muda wote punda ni kubebeshwa mizigo (mtumwa mpaka kufa)
 
Sawasawa Mkuu kanyaga twende
 
Ukiandamana chuoni unafukuzwa chuo, je raia utafukuzwa nchini au ndiyo lockup?
 
Bobby,
Swala siyo kumshambulia, ni mtazamo wangu juu ya maoni yake na hili ndiyo inavyotakiwa kwamba kama ninamtazamo tofauti niuleleze na yeye awe mvumilivu wa kupokea mawazo tofauti.
Kwa mfano kabla sijafyatua hiyo reply aliniambia kuwa mimi ni mtu wa maneno matupu, sasa unategemea jibu langu lingekuwa tofauti na nilivyomjibu?
Kama yeye ni arm chair general aendelee kuwa hivyo vinginevyo aende akaombe kibali kwa Kova aandamane ili aweze kutii kiu yake.
Kama alianzisha hii thread kwa kupata mawazo yaliyo sawa basi hakuwa sahihi.

Its ok Zebra nimekusoma. Ila jamani let's be very honesty, KISURA ANABOA KUPITA MAELEZO. KINACHONIUMA ZAIDI KTK HUKO KUBOA KWAKE, MASIKINI WA NKASI NA NAMTUMBO NDIYE ANAPAY HIYO PRICE. JK HII NCHI C YAKO PEKE YAKO, WENYE NCHI NI WALE WANAOKUFA KWA NJAA NA KUKOSA DAWA KULE KINYANTIRA WAKATI JAMAA ZAKO MAFISADI WAMELIMBIKIZA MABILIONI YETU NJE YA NCHI.GOD SEES THE WAY YOU AND YOUR FELLOWS ARE TREATING US. ONE DAY YOU WILL BE ANSWERABLE WHETHER YOU BELIEVE IN HIM OR NOT.
 
Back
Top Bottom