Maandamano Kumpinga Kikwete | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maandamano Kumpinga Kikwete

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kaniki1974, May 16, 2009.

 1. Kaniki1974

  Kaniki1974 JF-Expert Member

  #1
  May 16, 2009
  Joined: Dec 2, 2008
  Messages: 352
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Lini wana JF tusioridhishwa na utawala wa JK tutashika mabango na kuandamana kuupinga utawala huu ulioshindwa kufanya kazi tukimtaka aondoke pale magogoni? Aachie ngazi.
   
 2. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #2
  May 16, 2009
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  Maandamano ya nini wakati uchaguzi mwakani??? Kama watu kweli hatumtaki ni kumpigia kura ya hapana mwakani. Maandamano yetu uchaguzi 2010 na mabangi yetu ni kura. Cha kufanya ni kuhamasisha watu wote waliochoka na utawala wake wasimpigie kura tena mwakani.
   
 3. Kaniki1974

  Kaniki1974 JF-Expert Member

  #3
  May 16, 2009
  Joined: Dec 2, 2008
  Messages: 352
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Huoni kama maandamano pia yaweza kuwa njia nzuri ya kuhamasisha asipigiwe kura 2010? Muda uliobaki si mdogo kwa JK kuzidi kuiburuzia nchi yetu shimoni...
   
 4. M

  Mapinduzi JF-Expert Member

  #4
  May 16, 2009
  Joined: Aug 23, 2008
  Messages: 2,427
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0

  Usidhani wote ni wenzio hapa, hebu sema Malecela au Mengi ni fisadi uone moto utakavyowaka. Nani kasema nini ndio mtindo wa kisasa, watu bendera fuata upepo. Waoga kusimamia facts, wanasimamia maneno ya kusikia na uzoefu. Sio sheria na kanuni.

  Jaribu kuitisha maandamano 'ya kumpinga Kikwete'.
   
 5. Pundamilia07

  Pundamilia07 JF-Expert Member

  #5
  May 16, 2009
  Joined: Oct 29, 2007
  Messages: 1,433
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Hakuna anayekukataza kuandamana, nenda kwa Kova mwambie kuwa unataka kuandamana atakupa na askari wa kukulinda. Huhitaji kuomba watu hapa JF.
   
 6. Kaniki1974

  Kaniki1974 JF-Expert Member

  #6
  May 16, 2009
  Joined: Dec 2, 2008
  Messages: 352
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Watu kama wewe mnaoishia kuongea tu bila vitendo mnachangia sana nchi yetu kuongozwa ndivyo sivyo. Ukitajiwa 'maandamano' unaangalia ubaya tu wa neno hilo. Haina maana mawazo kubakia mawazo. Mawazo yenye kupelekea matendo ndio bora na mawazo bila matendo ni kama ndoto. Sishangazwi na kauli yako. Ninajua pia utaratibu wa kuandamana. Ninapinga utawala wa JK.
   
 7. Kaniki1974

  Kaniki1974 JF-Expert Member

  #7
  May 16, 2009
  Joined: Dec 2, 2008
  Messages: 352
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  I know that man....Napinga utawala wa JK.
   
 8. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #8
  May 16, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  Mkuu Kaniki mi nakuunga mkono sasa imefika wakati tuseme enough is enough...nami nimechoka
   
 9. M

  MkamaP JF-Expert Member

  #9
  May 16, 2009
  Joined: Jan 27, 2007
  Messages: 7,313
  Likes Received: 1,452
  Trophy Points: 280
  Then what?
   
 10. Pundamilia07

  Pundamilia07 JF-Expert Member

  #10
  May 16, 2009
  Joined: Oct 29, 2007
  Messages: 1,433
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Hivi huoni kuwa wewe ndiyo unaongea tu na hufanyi vitendo?

  ulitakiwa uje hapa na ushahidi kuwa umeandamana kupinga utawala wa JK, don't waste your time kwa kubishana hapa kwenye forum, nenda ukaombe kibali kwa Kova haraka tu.
   
 11. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #11
  May 16, 2009
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Sasa nani amekuuliza ndg? Amekwambia hakujui kwa Kova? Amekwambia yupo Dar? Amekwambia anaomba watu ? Mdau ameuliza tu..ni lini sisi tusioridhishwa na utawala uliopo tuliopo humu JF tuoneshe hasira zetu..sasa linganisha hoja za mdau na upupu ulioleta.
   
 12. Kaniki1974

  Kaniki1974 JF-Expert Member

  #12
  May 16, 2009
  Joined: Dec 2, 2008
  Messages: 352
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  I salute you, comrade
   
 13. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #13
  May 16, 2009
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Wengine hatuamini ktk vyama, siasa wala uchaguzi. Tunaweza kutumia platform tofauti na hizo zilizo-predertemined kichwani mwako ktk kufikia malengo yaleyale ya kupata utawala bora unaowajibika.
   
 14. Kaniki1974

  Kaniki1974 JF-Expert Member

  #14
  May 16, 2009
  Joined: Dec 2, 2008
  Messages: 352
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Pundamilia anaweza kuwa alishinda kwenye viti virefu jana ;-)
   
 15. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #15
  May 16, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  DAWA KUBWA HAPA ni kuonyesha kutoridhika kwetu KUPITIA KURA
   
 16. Pundamilia07

  Pundamilia07 JF-Expert Member

  #16
  May 16, 2009
  Joined: Oct 29, 2007
  Messages: 1,433
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135

  Sasa wewe ndiye unaeleta spin. Mtoa hoja hajakataa ambayo wewe unamtetea. Angalia majibu yake hapo nyuma linganisha na utetezi wako.
   
 17. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #17
  May 16, 2009
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Yepi?
   
 18. Pundamilia07

  Pundamilia07 JF-Expert Member

  #18
  May 16, 2009
  Joined: Oct 29, 2007
  Messages: 1,433
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Hiyo ni dhana kwa hiyo sidhani hata kama ninatakiwa kutoa maelezo yeyote kwamba nilikuwa kwenye viti virefu au niki kwenye viti maalum.

  Let us be realistic, wewe ulipoanzisha thread hii ulikuwa una mategemeo gani kutoka kwa wachangiaji wengine?
   
 19. Pundamilia07

  Pundamilia07 JF-Expert Member

  #19
  May 16, 2009
  Joined: Oct 29, 2007
  Messages: 1,433
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Yaani umeingia kutetea jambo ambalo hata hulijui? you can't be serious mkuu!
   
 20. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #20
  May 16, 2009
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Sitetei kitu hapa na unanishangaza unaposema natetea..ndio maana nimekuuliza natetea yepi..huenda umenifananisha.

  Nilichosema ni kuwa mdau ametoa hoja zake kuhusu maandamano ya watu wasoridhishwa na utawala ..na wewe ukarukia kuanza kuleta mambo ambayo ni out of context..
   
Loading...