Kaniki1974
JF-Expert Member
- Dec 2, 2008
- 352
- 22
Lini wana JF tusioridhishwa na utawala wa JK tutashika mabango na kuandamana kuupinga utawala huu ulioshindwa kufanya kazi tukimtaka aondoke pale magogoni? Aachie ngazi.
Maandamano ya nini wakati uchaguzi mwakani??? Kama watu kweli hatumtaki ni kumpigia kura ya hapana mwakani. Maandamano yetu uchaguzi 2010 na mabangi yetu ni kura. Cha kufanya ni kuhamasisha watu wote waliochoka na utawala wake wasimpigie kura tena mwakani.

Hakuna anayekukataza kuandamana, nenda kwa Kova mwambie kuwa unataka kuandamana atakupa na askari wa kukulinda. Huhitaji kuomba watu hapa JF.
Usidhani wote ni wenzio hapa, hebu sema Malecela au Mengi ni fisadi uone moto utakavyowaka. Nani kasema nini ndio mtindo wa kisasa, watu bendera fuata upepo. Waoga kusimamia facts, wanasimamia maneno ya kusikia na uzoefu. Sio sheria na kanuni.
Jaribu kuitisha maandamano 'ya kumpinga Kikwete'.
I know that man....Napinga utawala wa JK.
Watu kama wewe mnaoishia kuongea tu bila vitendo mnachangia sana nchi yetu kuongozwa ndivyo sivyo. Ukitajiwa 'maandamano' unaangalia ubaya tu wa neno hilo. Haina maana mawazo kubakia mawazo. Mawazo yenye kupelekea matendo ndio bora na mawazo bila matendo ni kama ndoto. Sishangazwi na kauli yako. Ninajua pia utaratibu wa kuandamana. Ninapinga utawala wa JK.
Hakuna anayekukataza kuandamana, nenda kwa Kova mwambie kuwa unataka kuandamana atakupa na askari wa kukulinda. Huhitaji kuomba watu hapa JF.
Mkuu Kaniki mi nakuunga mkono sasa imefika wakati tuseme enough is enough...nami nimechoka
Maandamano ya nini wakati uchaguzi mwakani??? Kama watu kweli hatumtaki ni kumpigia kura ya hapana mwakani. Maandamano yetu uchaguzi 2010 na mabangi yetu ni kura. Cha kufanya ni kuhamasisha watu wote waliochoka na utawala wake wasimpigie kura tena mwakani.
Sasa nani amekuuliza ndg? Amekwambia hakujui kwa Kova? Amekwambia yupo Dar? Amekwambia anaomba watu ? Mdau ameuliza tu..ni lini sisi tusioridhishwa na utawala uliopo tuliopo humu JF tuoneshe hasira zetu..sasa linganisha hoja za mdau na upupu ulioleta.

Sasa wewe ndiye unaeleta spin. Mtoa hoja hajakataa ambayo wewe unamtetea. Angalia majibu yake hapo nyuma linganisha na utetezi wako.
Pundamilia anaweza kuwa alishinda kwenye viti virefu jana ;-)
Yepi?
Yaani umeingia kutetea jambo ambalo hata hulijui? you can't be serious mkuu!