Maandamano Iran/Teheran

Maandamano Iran/Teheran

Lissu cha mtoto kulinganisha huyo mwanajeshi aliyeuwawa na wamarekani, Lissu anafanya ukibaraka kwa mabeberu wakati huyo Suleimani alikuwa anawauwa hao mabeberu.
Is that justified? That is my point of contention!
 
Iran wamzike kamanda wao wakae chini watafakari kama ugaidi unalipa au haulipi?

Tatizo Iran anataka kujitangazia u-super power wa Middle East bila kufata procedure.
Hebu weka hapa hizo procedure za kua super power kisha utuambie ni lini Iran alitaka kujitangaza u super power?
 
Trump mwanaharamu anawaambia mkilipiza kisasi tu napiga maeneo 52 sawa na idadi ya wamarekani 52 waliotekwa miaka ile 1970 mwishoni.

Ukisikia ubabe ndio huu, mtu anakuja nyumbani kwako anaua mtoto wako halafu anakutangazia ubabe kwamba ukilipiza kisasi naua wote waliobakia.

Dunia haina haki hii, wakati wairan wanaomboleza bwana mkubwa anakula likizo ya mwaka mpya akicheza gofu na viongozi wengine wasaidizi wake.
Wairani wapuuzi sana, waache kufadhili magaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yeye ni amiri jeshi mkuu, anatoa maelekezo baada ya kupewa taarifa za kiinteligensia.
Kumbuka watoto walioenda pale Ghuba wanataka watengeneze historia ya kuua watu wengi kwa iyo Iran atumie akili ya ukimiya ili mambo yapite. Wamezungukwa na maadaui kila kona kuanzia vikosi vya kijeshi, iPhone, iOS, Android, window, Symbian, Instagram, YouTube, Twitter, Facebook, Google, Maps, satellites, vaccines, Wikipedia, internet
Kama wairan wana jeuri waache kutumia izo platforms ambazo zinawauza kwa maaskari wa USA Giant Eagle

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Iran wamzike kamanda wao wakae chini watafakari kama ugaidi unalipa au haulipi?

Tatizo Iran anataka kujitangazia u-super power wa Middle East bila kufata procedure.
Procedure ipi?
Acha upuuzi.

Irani wataanza na mabalozi wa Marekani kisha wakuu wa kambi za kijeshi.
Mmoja baada ya mwingine. Akipigwa hata mmoja tu Marekani watalia hao...wakati wameua mkuu wa majeshi wa nchi nyingine kipuuzi tu.
 
wanaweweseka hawaamini kama kamanda waliekuwa wanamuabudu kapigwa na drone 🤣
Wataweweseka sana. Haya sasa fursa kwao kuifuta Israel kama wanavyojiapiza kila uchao; fursa hiyo imejileta yenyewe waitumie waache kulialia mitaani.
 
Procedure ipi?
Acha upuuzi.

Irani wataanza na mabalozi wa Marekani kisha wakuu wa kambi za kijeshi.
Mmoja baada ya mwingine. Akipigwa hata mmoja tu Marekani watalia hao...wakati wameua mkuu wa majeshi wa nchi nyingine kipuuzi tu.
Tatizo watu wameyachukulia hayo mambo kishabiki ila yamekaa vibaya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wataweweseka sana. Haya sasa fursa kwao kuifuta Israel kama wanavyojiapiza kila uchao; fursa hiyo imejileta yenyewe waitumie waache kulialia mitaani.
Trump ni shida yan.
 
Wataweweseka sana. Haya sasa fursa kwao kuifuta Israel kama wanavyojiapiza kila uchao; fursa hiyo imejileta yenyewe waitumie waache kulialia mitaani.
Exactly, this is an opportunity to make their dreams on Israel extinction true
 
Iran kapewa mtihani mgumu sana na Marekani inabidi kabla hajafanya maamuzi afikirie sana asije kurupuka kwa lengo la kutaka kumfurahisha marehemu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Alafu Trump kamtahadharisha akisubutu kumuua hata mmarekan mmoja tu, atashambulia vituo 52 ambavyo teyar vipo target, yaan Trump kampa angalizo dunia nzima imesikia, nafikir hata lawama kwa alichopanga kukitekeleza
Hamna kipind Iran anawakat mgumu toka Taifa lao liundwe kama sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom