Endelea kujifariji tu IRGC wako kazini na wanazengo wanakula nao Saha I moja!!! Wananchi wamechoshwa na Serikali ya kiislamu ndiyo maana wanaendesha “CHOMACHOMA FESTIVAL” wameishusha bendera ya Serikali ya kiislamu wanataka kupandisha bendera yao yenye picha ya SIMBA!!Unamjua jina lake,hizo ni uniform za irgc?.. siyo kila askari Iran ni irgc,rais kazuwia irgc kuingia mzigoni,ila hali inavyoelekea wataingia mzigoni na wakiingia ni maiti kutapakaa
Ayatollah Ruhollah Khomeini alikua popular sana, huyo Shah wanayetaka kumrudisha ni kama utake kumrudisha sultan kule zanzibar.kama walimtumia kudondosha utawala ulokuwepo sasa wamemchoka wanaleta mtu mwngne, kiongoz mkuu?
Anayekuja atakua extremist kuliko AyatollahKhamenei bye bye the end of era. Ili yaliyoandikwa yapate kutimia wale wajukuu wa Yakobo wajilie maziwa na asali sasa
Kwamba wanataka serikali ya kikristo? Ndio unavyojidanganya? Iran ilianza kuwa nchi ya kiislamu baada ya kura ya maoni 1979 na 90% ya wananchi walitaka iwe taifa la kiislam. So wasingetaka wangepiga kura ya maoni tena.Wananchi wamechoshwa na Serikali ya kiislamu
Hakuna mapinduzi Iran. Kinacho waponza nyie ni kuamini twiti za mossadHilo linawezekana Labda ikitokea serikali iliyopo ikipona mapinduzi
Hapana hukunielewa? What I mean is USA akipindua serikali haimaanishi anaweka kibaraka ila anaweza tumia fursa ya mgogoro kupindua serikali.alaaa kumbe tumekubaliana USA ndo walimuweka alipokuwa adui ya utawala wa iran?
USA na Israel wanapoteza mabillions tu, Ayatollah haondoki pale ila kwa amri ya Mungu sio USA au Israel na hao waandamaji walio andaliwa miaka ili wafanye fujo hizoAyatollah anajiandaa kukimbia!!
Tulizana wasafishwe tuone Trump kama atawasaidia.
Hakuna kitu kama hicho. USA akishasimika kibaraka wake unategemea nini zaidi ya free marketAnayekuja atakua extremist kuliko Ayatollah
Vipi Syria, Wapi Afghanistan? Did someone say Iraq!!! Kuna free market and all that Bullshit?Hakuna kitu kama hicho. USA akishasimika kibaraka wake unategemea nini zaidi ya free market
Nani kakuambia wanataka Ukristo? Mimi nimesema wananchi wamechoshwa na serikalo ya kiislamu hata kama hawataki Ukristo!!Kwamba wanataka serikali ya kikristo? Ndio unavyojidanganya? Iran ilianza kuwa nchi ya kiislamu baada ya kura ya maoni 1979 na 90% ya wananchi walitaka iwe taifa la kiislam. So wasingetaka wangepiga kura ya maoni tena.
Hao wanaandamana sababu ya mfumuko wa bei sio dini. Ni kama Syria tu katoka Assad kaingia Al Qaeda!! Ndi kitakachotokea iran
Akiingia ndio kaharibu, nchi itaungana kupigana na common enemy. If anything Iran haiwezi kubali kuwa kibaraka wa USA.
Piga hao ng'ombeRais wa Marekani Donald Trump: anasema
"Kwa hivyo, Iran iko katika shida kubwa. Inaonekana kwangu kwamba watu tayari washateka miji mbalimbali ambayo hakuna mtu aliyefikiria ingewezekana wiki chache zilizopita. Tunaangalia hali hii kwa makini sana. Na ilibidi tutaingilia kuwasaidia!!!
Nilitoa kauli hii kwa nguvu sana kwamba ikiwa wataanza kuwaua watu kama walivyofanya hapo awali. Tutahusika, tutakuwa tunawapiga vikali sana pale panapouma. Na hiyo haimaanishi kuwa watalala chini, lakini inamaanisha kuwapiga vikali sana pale panapouma sana."
View: https://x.com/osint613/status/2009731867550068988?s=61
Huna unalojua kuhusu siasa!! Kitendo cha USA kuingilia ndio kitaharibu maandamano yatageuka vita kama Syria na hapo USA hawezi kushinda vita ya ardhini Iran.Rais wa Marekani Donald Trump: anasema
"Kwa hivyo, Iran iko katika shida kubwa. Inaonekana kwangu kwamba watu tayari washateka miji mbalimbali ambayo hakuna mtu aliyefikiria ingewezekana wiki chache zilizopita. Tunaangalia hali hii kwa makini sana. Na ilibidi tutaingilia kuwasaidia!!!
Nilitoa kauli hii kwa nguvu sana kwamba ikiwa wataanza kuwaua watu kama walivyofanya hapo awali. Tutahusika, tutakuwa tunawapiga vikali sana pale panapouma. Na hiyo haimaanishi kuwa watalala chini, lakini inamaanisha kuwapiga vikali sana pale panapouma sana."
View: https://x.com/osint613/status/2009731867550068988?s=61
So misikiti ikichomwa moto ndio wanataka ukristo na uyahudi? Njyie hamjifunzi tu palestina au Lebanon huko si mlisema mmemaliza vikundi vya kigaidi ila cha ajabu wananchi bado wanaviunga mkono!! Hata syria ipo chini ya kiongozi wa Al Qaeda!!Nani kakuambia wanataka Ukristo? Mimi nimesema wananchi wamechoshwa na serikalo ya kiislamu hata kama hawataki Ukristo!!
Kuna sehemu nyingi sana Misikiti imechomwa moto kwa akili yako wewe unadhani wanaukumbatia utawala wa kiislamu wa Ayatollah? Subiri siku zinakuja na wewe utaufyata mkia kama alivyoufyata @Adiosamigo na Mme wake @Ritz .