Ng'wanangwa
JF-Expert Member
- Aug 28, 2010
- 10,827
- 4,172
Ni kweli polisi hawakujua kinachoendelea?
Je walikuwa na kibali cha kufanya maandamano?
Je viongozi wao watashitakiwa kwa kufanya maandamano kinyume cha sheria kama wanavyowashitaki viongozi wa vyama vya siasa?
Je huu si ushahidi kuwa bila polisi kiungilia maandamano hakuna fujo wala mauaji?
Huu si ushahidi kuwa polisi wanatumika kisiasa?
Au hii ni mbinu ya kisiasa ya watawala ili chadema wakilalamika waonekane wana chuki na uislamu?
This is typical double standard.
CDM wanatakiwa wasitoe tamko kuhusu maandamano haya, kwani tamko lolote litatafsiriwa kivingine na waislam wachache walioishia chuo tu.
naona umejiuliza alafu uka conclude mwenyewe! uislam ni dini sio chama cha siasa... so usifananishe maandamano ya waislam na chadema...
sipati picha mzee mtei asivyokuwa na amani.. maana anavyochukia waislam yule mzee!! mungu anajua.. nasubiri akurupuke tena kama tume ya katiba mpya
uislam sio majina! wanaweza wakawa waislamu lakini wakafwata amri za kafiri pengo kutokana na mfumo kristo, haya wapigie debe wakatoliki wachukue nchi ili tuanze kuchinjana sasa, mana kunampango wa kugawana nchi hii sasa, waislam kwao na wakristo kwao.
Maandamano ya aina yeyote yalikuwa haya ruhusiwi mpka mwisho wa sensa!
Wewe ndio una chuki nae!
wewe umenyamaza.mtasema sana
lakini sensa ni shughuli ya kisiasa.Maandamano ya aina yeyote yalikuwa haya ruhusiwi mpka mwisho wa sensa!
tatizo kaka wengine hawatumii akili kabisa wao ni kama manati hailengi mpaka uitumie ndio tatizo la kukosa busara.Mimi ni mkristo na ninaiamini imani yangu. Bahati nzuri baba yangu wa kufikia ni muislam(RIP) na nina wadogo na kaka waislam. Kiujumla familia yetu ina mchanganyiko wa kiimani lakini ina upendo.
Baba yangu wa kufikia alikuwa mcha Mungu na alitusisitiza sana sisi kushika imani. Wakati wa mfungo wa Ramadhan tulikuwa tunafunga. Mama yangu(ni mkristo) alikuwa anajifunga mtandio kichwani mara zote anapokuwa nje. Kiujumla zile taratibu/maadili ya kidini kwa pande zote yalikuwa yanapewa kipaumbele sana.
Sasa kaka yangu Hussein(si jina lake) alikuwa China, he is one of the best intelligent guys in Tanzania. Amefungua kampuni na mawazo yake yapo kwenye kusaidia wasio na uwezo na kujiendeleza elimu dunia na dini.
Am so proud of him! Natamani matatizo ya sijui mfumo Kristo etc yatatuliwe, tuwe na upendo.
Nasoma Quran kuna mafundisho makubwa mazuri ingawa sifurahii kabisa kuniita Kafir!
Anyways wote tutakufa! Waliotangulia wanajua siri. Wewe unayesoma na mimi ninayeandika tutakufa siku fulani na tutajua yaliyofichwa!
Tupendane!
Ni kweli polisi hawakujua kinachoendelea?
Je walikuwa na kibali cha kufanya maandamano?
Je viongozi wao watashitakiwa kwa kufanya maandamano kinyume cha sheria kama wanavyowashitaki viongozi wa vyama vya siasa?
Je huu si ushahidi kuwa bila polisi kiungilia maandamano hakuna fujo wala mauaji?
Huu si ushahidi kuwa polisi wanatumika kisiasa?
Au hii ni mbinu ya kisiasa ya watawala ili chadema wakilalamika waonekane wana chuki na uislamu?
This is typical double standard.
ndo nasema hivii, mtasema sana.
Ivi na yule waziri anayehusika na hii wizara ni dini gani vile
hili suala mkuu ni tatizo la muda mrefu ila matunda yake kumbuka tunaanza kuyaona enzi hizi.polisi ni wajinga wamekwenda mafunzo kwa ajili ya kazi zao lakini wantumikishwa na watu aina ya kina nape lakini sasa unajiuliza akiwa peke yake anawaza sana juu ya unyama wano fanya lakini iko siku hao wajinga wote tutawabuluza maakamani hata kwa kutumia mahakimu wa nchi za nje