Maandamano haya ni ushahidi tosha kuwa 'intelijensia' ya polisi ni ya kisiasa

Ametumwa na kikwete na mwema nayule mwenye jicho la chura kuwa njia rahisi waende kwa yule nchimbi wataachiwa.full stop.hi mbegu ya udini iliypandwa na ccm wanavuna sasa

teh eti mwenye jicho kama chura, yuko wapi siku hizi? Tangia atangaze kumkamata yule mkenya aliyeenda kuungama kwa gwajima sijamsikia tena
 
Nadhani ukiwa Polisi akili yako inakuwa kama ya kuku; asubuhi anatoka ndani mbio akishukuru kunusurika, lakini jioni husahau na kurudi kutafuta hifadhi kwa mfugaji! Aargh Polisi? Shame unto them!

Ukizingatia na kota wanazoishi ni kama mabanda ya kuku!
 
Nadhani ukiwa Polisi akili yako inakuwa kama ya kuku; asubuhi anatoka ndani mbio akishukuru kunusurika, lakini jioni husahau na kurudi kutafuta hifadhi kwa mfugaji! Aargh Polisi? Shame unto them!

Ukizingatia na kota wanazoishi ni kama mabanda ya kuku! Inaleta maana kabisa
 
Islam is not a political party. Waisalamu wanapo amua hakuna mtu yoyote anae weza kuthubutu.
Kweli wewe MZIMU..! ingekuwa hivyo usingesikia malalamiko yao kila kukicha mara MoU wakristo na serikali, mara vyuo kikuu tupu wachache, mara viongozi serikalini wakristo/mamluki wengi nk..
 
Islam is not a political party. Waisalamu wanapo amua hakuna mtu yoyote anae weza kuthubutu.

Kwa hiyo na wakristu siku moja wakiamua maandamano wanakubaliwa? Japo sijawahi kusikia maaandamano ya dini hiyo kudai haki mara hiki na kile!!! Hivyo dola haitathubutu kuwatupia mabomu wakristu? Nafikiri dola inafikiri CDM ni wakristu, hivyo kuwatupia mabomu ni kuwatupia CDM!!!! Maoni tu haya!!!
 
Police ya Tanzania ivunjwe, kuwe na mgambo kwani katika "documents" za jeshi, acha tu niziite documents (sio katika wale wanaolinda raia na mali zao) Mgambo ana hadhi kuliko polisi....ingawa tunawadharau. kutambua umuhimu wao serikali iwape ajira moja kwa moja kwa hata lile somo la "medani za kivita" wanalielewa vizuri kuliko polisi...believe me!!
 
Back
Top Bottom