Maandamano haya ni ushahidi tosha kuwa 'intelijensia' ya polisi ni ya kisiasa

Au hii ni mbinu ya kisiasa ya watawala ili chadema wakilalamika waonekane wana chuki na uislamu?

mkuu chukua

images (1).jpg
 
Ni kweli polisi hawakujua kinachoendelea?

Je walikuwa na kibali cha kufanya maandamano?

Je viongozi wao watashitakiwa kwa kufanya maandamano kinyume cha sheria kama wanavyowashitaki viongozi wa vyama vya siasa?

Je huu si ushahidi kuwa bila polisi kiungilia maandamano hakuna fujo wala mauaji?

Huu si ushahidi kuwa polisi wanatumika kisiasa?

Au hii ni mbinu ya kisiasa ya watawala ili chadema wakilalamika waonekane wana chuki na uislamu?

This is typical double standard.

naona umejiuliza alafu uka conclude mwenyewe! uislam ni dini sio chama cha siasa... so usifananishe maandamano ya waislam na chadema...
 
CDM wanatakiwa wasitoe tamko kuhusu maandamano haya, kwani tamko lolote litatafsiriwa kivingine na waislam wachache walioishia chuo tu.

sipati picha mzee mtei asivyokuwa na amani.. maana anavyochukia waislam yule mzee!! mungu anajua.. nasubiri akurupuke tena kama tume ya katiba mpya
 
Jeshi la polisi chini ya utawala wa JK limekuwa na heshima sana na kuheshimu uhuru wa mtanzania..! bravo jk, !! bravo kamanda kova.... !! ona walivyosimamia maandamano yakaisha kwa amani!... tofauti na mtangulizi wake mkapa.. mauaji ya wana CUF aliyofanya pemba & waislam mwembe chai!!! ...

SIKU ZOTE UKIENDA KWA SHARI .. UTAKUTA SHARI! HIVI MTU UNATANGULIZA SMS ZA VITISHO KWA IGP WEYE UNATEGEMEA NINI...?!!

Maandamano ya aina yeyote yalikuwa haya ruhusiwi mpka mwisho wa sensa!

naona umejiuliza alafu uka conclude mwenyewe! uislam ni dini sio chama cha siasa... so usifananishe maandamano ya waislam na chadema...
 
Wewe ndio una chuki nae!

sipati picha mzee mtei asivyokuwa na amani.. maana anavyochukia waislam yule mzee!! mungu anajua.. nasubiri akurupuke tena kama tume ya katiba mpya
 
Mbinu chafu za sisiemu zinaligharimu taifa, zitaendelea kulighalimu taifa kwa miongo kadhaa, na mbinu hizohizo zinaipelekesha sisiem kwa kasi kubwa kutoweka madarakani.

1. Maamuzi yasiozingatia haki na usawa (sio kwa raia na vyama vya siasa pekee, hata wao ndani kwa ndani ni balaa)

2. kufarakanisha undugu wa watanzania kwa kutumia silaha mbaya kabisa- kupandikiza na kueneza chuki za kidini

3. kuasisi na kupanuwa wigo kati ya walionacho na wasionacho (wasio nacho wanaona wanatapeliwa waziwazi na ccm)

4. Kukumbatia mafisadi na kuitawala inchi kifisadi (wanyonge mara moja vifungoni, wezi wakubwa wanaendelea kupeta)

5. kushindwa kutekeleza ahadi zake hasa ile ya maisha bora kwa kila mtanzani, imekuwa maisha duni na ukata zaidi.

6. kushindwa kutekeleza kwa uwazi, haki na amani sera ya vyama vingi na kuendeleza majungu na unafiki

7. viongozi kuendekeza kejeri, mipasho na matusi, wakiisaliti katiba walioapa kuilinda na kuitekelza

Hata siku moja huwezi kukubalika kama mtawala, endapo huwatendei haki watu wako kama inavyostahili.
 
uislam sio majina! wanaweza wakawa waislamu lakini wakafwata amri za kafiri pengo kutokana na mfumo kristo, haya wapigie debe wakatoliki wachukue nchi ili tuanze kuchinjana sasa, mana kunampango wa kugawana nchi hii sasa, waislam kwao na wakristo kwao.

Mimi ni mkristo na ninaiamini imani yangu. Bahati nzuri baba yangu wa kufikia ni muislam(RIP) na nina wadogo na kaka waislam. Kiujumla familia yetu ina mchanganyiko wa kiimani lakini ina upendo.

Baba yangu wa kufikia alikuwa mcha Mungu na alitusisitiza sana sisi kushika imani. Wakati wa mfungo wa Ramadhan tulikuwa tunafunga. Mama yangu(ni mkristo) alikuwa anajifunga mtandio kichwani mara zote anapokuwa nje. Kiujumla zile taratibu/maadili ya kidini kwa pande zote yalikuwa yanapewa kipaumbele sana.

Sasa kaka yangu Hussein(si jina lake) alikuwa China, he is one of the best intelligent guys in Tanzania. Amefungua kampuni na mawazo yake yapo kwenye kusaidia wasio na uwezo na kujiendeleza elimu dunia na dini.

Am so proud of him! Natamani matatizo ya sijui mfumo Kristo etc yatatuliwe, tuwe na upendo.

Nasoma Quran kuna mafundisho makubwa mazuri ingawa sifurahii kabisa kuniita Kafir!

Anyways wote tutakufa! Waliotangulia wanajua siri. Wewe unayesoma na mimi ninayeandika tutakufa siku fulani na tutajua yaliyofichwa!

Tupendane!
 
Maandamano ya aina yeyote yalikuwa haya ruhusiwi mpka mwisho wa sensa!

ndo yalishafanyika hayo! imebaki story! na IGP wamewa disappoint kweli.. maana mlitaka watu wapigwe risasi .. hehe! poleni sana! kazi ya polisi ni kulinda usalama na ku re store order jana waislam walikuwa wastaarabu sana , ila next time cdm mkitaka kufanya maandamano msitume msg za vitisho wala kubeba silaha

Wewe ndio una chuki nae!

mtei ana beef na imani yangu! alilithibitisha hilo JF

wengine hawana akili wakazaa watoto wasio na akili sasa wanataka ndalichako awasaidie kufaulu kuna tofauti kubwa sana ya elimu dunia na elimu ahera,watu wa hadhi ya toilet paper use &throw it.
 
Mimi ni mkristo na ninaiamini imani yangu. Bahati nzuri baba yangu wa kufikia ni muislam(RIP) na nina wadogo na kaka waislam. Kiujumla familia yetu ina mchanganyiko wa kiimani lakini ina upendo.

Baba yangu wa kufikia alikuwa mcha Mungu na alitusisitiza sana sisi kushika imani. Wakati wa mfungo wa Ramadhan tulikuwa tunafunga. Mama yangu(ni mkristo) alikuwa anajifunga mtandio kichwani mara zote anapokuwa nje. Kiujumla zile taratibu/maadili ya kidini kwa pande zote yalikuwa yanapewa kipaumbele sana.

Sasa kaka yangu Hussein(si jina lake) alikuwa China, he is one of the best intelligent guys in Tanzania. Amefungua kampuni na mawazo yake yapo kwenye kusaidia wasio na uwezo na kujiendeleza elimu dunia na dini.

Am so proud of him! Natamani matatizo ya sijui mfumo Kristo etc yatatuliwe, tuwe na upendo.

Nasoma Quran kuna mafundisho makubwa mazuri ingawa sifurahii kabisa kuniita Kafir!

Anyways wote tutakufa! Waliotangulia wanajua siri. Wewe unayesoma na mimi ninayeandika tutakufa siku fulani na tutajua yaliyofichwa!

Tupendane!
tatizo kaka wengine hawatumii akili kabisa wao ni kama manati hailengi mpaka uitumie ndio tatizo la kukosa busara.
 
Acheni wasomi waandamane uzuri wa hawa jamaa kila mtu ni graduate toka chuo cha Madrasa
Hii dhambi ya udini waliyoipandikiza JK na ccm yake itawamaliza tu wenyewe siku moja
 
Ni kweli polisi hawakujua kinachoendelea?

Je walikuwa na kibali cha kufanya maandamano?

Je viongozi wao watashitakiwa kwa kufanya maandamano kinyume cha sheria kama wanavyowashitaki viongozi wa vyama vya siasa?

Je huu si ushahidi kuwa bila polisi kiungilia maandamano hakuna fujo wala mauaji?

Huu si ushahidi kuwa polisi wanatumika kisiasa?

Au hii ni mbinu ya kisiasa ya watawala ili chadema wakilalamika waonekane wana chuki na uislamu?

This is typical double standard.

Tatizo lako si maandamano tatizo ni waliofanya maandamano.
 
polisi ni wajinga wamekwenda mafunzo kwa ajili ya kazi zao lakini wantumikishwa na watu aina ya kina nape lakini sasa unajiuliza akiwa peke yake anawaza sana juu ya unyama wano fanya lakini iko siku hao wajinga wote tutawabuluza maakamani hata kwa kutumia mahakimu wa nchi za nje
hili suala mkuu ni tatizo la muda mrefu ila matunda yake kumbuka tunaanza kuyaona enzi hizi.
Fikiria enzi kabla ya miaka ya 1985, ilikuwa wanaokoteza darasa la saba na mpaka miaka ya 1990s ndo wakaanza kuchukua form IV failure, sasa tulitegemea nini kutoka huko!? Na hapo ulinganishe tatizo la academical deterioration ambapo hata madk na PhD zao wanasikiliza amri za wakubwa wao then ujue tuna tatizo kiasi gani.
Mapolisi kame wengi wetu tulivyo hapa tz tunaangalia usawa wa matumbo yetu tu, macho na masikio yetu hayaoni hata kinachoendelea 'kijiji cha jirani'.
Hapa kizuri ni kuwa hata wale waliokuwa hawaelewi maana ya 'Intelijensia' angalau wanaweza kuelewa na kuona kuwa hawa watu hata wakielelezwa 'vua nguo' wanaweza kuvua aisee!

13 Reactions
Reply
Back
Top Bottom