Wangekua na akili, wangeandamana kupinga Boko Haram kuteka wasichana, kupinga Al Shabab kufanya ugaidi kule Somalia na Kenya, Kupinga ISIS kufanya mauaji kule Iraq na Syria, kupinga Al Qaeda kufanya na kufadhili ugaidi duniani..... Mengine utaongezea!
Hivi huwa najiuliza wanavyoandamana huwa wausika wanawasikia au mbwembwe.
Hivi huwa najiuliza wanavyoandamana huwa wausika wanawasikia au mbwembwe.
kipindi hicho waisrael walikuwa wapi? jews ni kina nani?
waisrael mbona wamekubali kusimamisha vita,lakini hamas hawataki. waislam waarabu waliokaribishwa palestina ndio wanaowaponza. kiongozi Wa Hamas aliyekataa kusimamisha vita ni raïa Wa Qatar, waliwadanganya watawasaidia ndo maana sasa wanakula mfueni. ukiwa maskini mtoto wako atakuwa fukara,na ukipigwa basi mwanao atauawa. wapalestina hawafikili, hawaelewi wanafanya nini,na serikali yao pia ni dhaifu,haina maamuzi. bora mwandamane kwa ajili ya dhahabu,tanzanite,albino wetu,gesi,ukawa na katiba yenu iokoe tanzania mbeleni kuliko huo upuuzi. Dua la kuku alimpati mwewe ndugu yangu. israeli alipambana na mungu na wanadamu akashinda, akabidi aitwe israel ,yaani shujaa (Mwanzo 32:28). Endeleeni kujidanganya tu,mkipunguzwa mtaenda kujipanga tena
Israel imelaanika.
Na alaaniwe kila mwenye kuitukuza israel
Huyajui maandiko, hujui inabii wala ujio wa Yesu Kristo, hujui hata wakati Yesu anasurubiwa Israel ilikuwa chini ya utawala gani na sheria zipi zilimhukumu kifo Yesu. Nyamaza!.
La kuongelea unaloweza kuchangia hata kama huna Mungu wala elimu, ni kwa ajili ya nini Hamasi waliwateka vijana watatu wa Israel na kuwaua? Kwa nini unaogopa kuuzungumzia ukweli na ambao ndiyo chanzo cha yanayoendelea kule gaza?
Mungu Mbariki, umuongeze na kumzidisha Israel!.
wenye akili kama zako mnapaswa kutafuta taifa jingine la kuishi.Hatuko tayali kuishi na vichwa taka kama ninyi.
Mimi si shabiki wa mauaji yoyote yale....
Hawa Hamas Lugha wanayoilewa ni Kichapo Tu. Wacha Watandikwe Kisawasawa ndipo akili yao itakapofunguka. Hawa Waandamanaji nao ni wanafiki watupu.
Mbona Hawaandamani ISIS inavyo taka kuwatahiri Wanawake Iraq?
Mbona hawaandamani wakati ISIS inapofukuza Wakristo Iraq?
Mbona Hawaandamani Alshabaab ilivyoua wasio Waisilamu Kenya na wanavyoendelea Kuua Kenya hadi Leo?
Mbona Hawaandamani Boko Haram walipoteka wasichana 200 na Kuwabaka na wkuwalazimisha kubadilisha dini Kuwavalisha Mishuka?
Unafiki, Unafiki Unafiki!!!!!
mungu yupi tena? umesahau ndo walimpiga huyo mungu wako kama kibaka wa manzese na kumvalisha boxer?
isaeri wanauwa watoto badala ya kupigana na jeshi la mgambo hamasi dalili ya kushindwa?