Maandamano barabara ya Kawawa

iwapo wangekua na akili
 
hao wamechoka na maisha sana utakuta wafuasi wa chagga dev.manfesto a.k.a chadema
 
hata akija aliyekufa akawaeleza yaliyoko huko aliko hamtamwamini mpaka ufe mwenyewe. hizo kashfa mbali mbali juu ya imani ya mtu sijui mnapata wapi ujasiri wa kuzijadili kwa kweli.
 
Israel haliitambui ukristo.

Wakristo wanaliitaje hilo ni taufa la mungu??

Mungu gani wanaomsema wao??
 
Wakenya Walikuwa Wanavamiwa Na Alshbab Ndyo Mana Wakaamua Kupeleka Majeshi Huko.
 
I support Israel a 100%. God bless ur Nation

Sisaport Israel kwa mauaji ya watoto wazee na kina mama wao wangepeleka majeshi huko kutokomeza hamas,na cyo kufanya maangamizi ya halaiki kwa silaha nzito ambayo haimchagui adui wala mtoto.HI NI LAANA KWA ISRAEL.
 
yalifanyika wapi hayo mkuu?

Hayo mauaji yalifanyika Israel wakati inatawaliwa na Warumi. Waliomuua siyo Waisrael bali ni askari wa Kirumi. Aliye saini hati ya kifo siyo Muisraeli bali ni Mrumi (Italiano) Pontio Pilato.
 
I support Israel a 100%. God bless ur Nation

Sisaport Israel kwa mauaji ya watoto wazee na kina mama wao wangepeleka majeshi huko kutokomeza hamas,na cyo kufanya maangamizi ya halaiki kwa silaha nzito ambayo haimchagui adui wala mtoto.HI NI LAANA KWA ISRAEL.napia siwasapoti hamas na siwapendi kwa ugaidi wao.jumuiaya ya kiislamu ifike itoe tamko kw makundi haramu km alshbab alqaida b haram nk kutokuwatambua napia itoe kauli ya kuwalaani.haya makundi ndyo yanayochafua image ya uislamu duniani.
 
Hayo mauaji yalifanyika Israel wakati inatawaliwa na Warumi. Waliomuua siyo Waisrael bali ni askari wa Kirumi. Aliye saini hati ya kifo siyo Muisraeli bali ni Mrumi (Italiano) Pontio Pilato.

kipindi hicho waisrael walikuwa wapi? jews ni kina nani?
 
Good job Israel, keep it up....

Kuna watu, Yesu ndani ya Biblia amewaita kondoo na kuna watu amewaita mbwa tena sehemu nyingine wameitwa kuwa wana laana, tazama hii picha:

Unaweza kuelewa walioitwa kondoo na Yesu ni akina nani na walioitwa mbwa ni akina nani? Biblia inawatambulisha wote, nnauhakika huijui ndiyo maana nnakuuliza.
 
Sisaport Israel kwa mauaji ya watoto wazee na kina mama wao wangepeleka majeshi huko kutokomeza hamas,na cyo kufanya maangamizi ya halaiki kwa silaha nzito ambayo haimchagui adui wala mtoto.HI NI LAANA KWA ISRAEL.
Nikweli bali Hamas wanajificha kwa Raia...wangekuwa majasiri wangeenda front na sare zao kupambana na Israel na siyo kujichanganya na raia. VITA HAINA MACHO.
 
American Jews protesters against Israel's military assault on Gaza​
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…