Maandalizi

Maandalizi

Hizi mambo wabongo tunacomplicate tu,hiyo ni nyama kama nyngine zilivyo,nimewahi ishi na hawa wachina miaka 3,kiukwel kwenye upande wa lishe wanajal sana, kwao mpaka sasa watu wanafikisha miaka90+,wanakula sana natural,tazama sisi wa kuchagua chagua!!iko poa binafs nishakula tena zaid ya mbwa!!

Kitokacho ndio kharamu
 
Kuna mshakaji wangu nilimuona anakunywa juisi ya konokono pale Chinese restaurant arusha nikabaki nashangaa tu
 
Nimechafukwa,
Tiba 1450043791806.jpg
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom