Mimi si mganga wa kienyeji lakini naweza bashiri; Nyumba hiyo hapo kuna msichana naye yupo form 4 mwaka huu. Hivyo, amewekewa mwalim kijana wa kiume awe akija kumfundisha maths kila siku jioni. Kwa sababu ya kelele za mamake ameamua kwenda kukaa huko pembezoni mwa nyumba ili hesabu iingie vizuri bila kusumbuliwa.
Ha ha hahapo kuna mtu/watu ataitwa kikao cha ugoni