Maandalizi ya Kesi ya Wazalendo dhidi ya Mkataba wa Bandari na DP WORLD yakamilika, Maelfu ya Wananchi wajipanga kuhudhuria

Haichekeshi, nimecheka😆😆😆Jinsi "Majenerali" watakavyo jipanga barabarani na misituni mbeya!😅😅 manake huko hawana jinsi ila kuenda tu, sio maandamano lakini ndio(ni protest nevertheless)....kwa wapiga picha-tumieni umahiri wa kupiga picha zitakazo onyesha ugumu wa "Majenerali" sura, ukakamavu wa mwili, au hata wakiwa wana watizama Walalamikaji wakiwa wanaingia Mahakamani n.k halafu mutuletee mrejesho kupitia Lucas Mwashamba(soma maudhui ya mada yake) wa CHADEMA Erythrocyte 😂😂

kama bwana Joni mbatizaji anavyosema...mlale unono
 
Hela mlizohongwa na DP World zitawatokea puani wote mliohu
View attachment 2693555
sika.

Sasa niwaambie nini Watanzania awanipe ubunge? Niwaambie tumehongwa na TPA? au niwaambie mimi nilitaka kwenda India wao wamenipeleka Dubai? kama ni jimbo jamani hilo la huyo mama anaebwabwaja na kuhororoja hovyo lipo wazi kama meno yake.
 
Ile kesi inayosubiriwa kwa hamu na Dunia nzima, ambayo imefunguliwa na Watanzania Wazalendo , ya kupinga Mkataba mbovu wa kukodisha Bandari za Tanganyika kwa Waarabu wa DP WORLD , ambayo imepangwa kuanza kusikilizwa kesho 20/07/2023 , Maandalizi yake yamekamilika .

Wananchi wa Tanganyika na hasa wakazi wa Jiji la Mbeya na vitongoji vyake wamejitokeza kwa wingi kujiandaa na misafara ya kuelekea Mahakamani , kama mambo yataenda sawa Kyela zitatoka Gari 4 aina ya Coaster , moja itatoka Katumbasongwe , moja itaanzia Boda , Moja itaanzia matema na nyingine itaanzia Kyela Mjini Stendi .

View attachment 2693194
Eti maelfu ya wananchi! Kuhudhuria You are not serious kwa kweli.
 
Watu wa Kyela tunawashukuru sana kwa moyo na Uzalendo , Mungu awarudishie mlipopunguza
 
Niwapongeze wana wa Mbeya. Mtatuletea ukombozi. Kwa mara ya kwanda kuna wananchi wameamka na kuweza kusema "HILI HATULIKUBALI" The dawning of a new era in Tanzania!!!!
 
NAMI nawapongeza saaana Watu Hao,,Kuhoji Siyo Dhambi.Pia mkataba hujieleza Wenyewe,, Mimi Siyo shabiki Lakini nashangaa wana CCM wenzangu tunautetea Acha ujiteteee Wenyewe .. Tupendane watanzania.
 
Ni wajasiri sana, hawapendi ujinga

Walishawahi upopoa msafara wa Vasco Dagama enzi hizo akiwa raisi

Sasa yule mzanzibari Hamad Masauni waziri wa mambo ya ndani ajirekebishe
 
Mbeya siku zote wapo mbele ya muda na wanajielewa ila sio wote, wengine wanawaza mbalaga na takapera tu
 
Back
Top Bottom