Maandalizi Kabambe Kuelekea 2015

Maandalizi Kabambe Kuelekea 2015

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,156
Reaction score
13,267
Mh Edward Lowassa akitoa hotuba kuwakaribisha wageni ktk hafla ya mwaka mpya
P1000796.JPG
 
akisalimia wageni mashuhuri walioalikwa kutoka mikoa yote ya Tz P1000772.JPG
 
Kama uonavyo.............BIRDS OF FEATHERS FLOCK TOGETHER.........KILA MTU NA MTUWE P1000790.JPG
 
Mpango mkakati,....wafanyiabiashara mashuhuri ndani ya nyumba, angalia na mandhari pia P1000746.JPG
 
The Man thinks of Kingship (Ufalme). In my Opinion is the Disqualification Criterion Number one for a political Leader. Have liked the attire though.
 
Tuache utani, huyu jamaa anatisha ndani ya CCM. Simply unstoppable,,,,

Only Dr Slaa can stop this great CCM man from becoming the next president
 
Ukisikia mpaka Sofia SImba anasema huyu ni 'MWNAUME WA SHOKA' lazima ishituke. Aliongea kama utani lakini alibeba ujumbe mzito kuliko maelezo. Pesa aliyomwaga Sofia Simba kwenye UW-CCM inatisha. Aliitoa wapi?
 
pembe zote za mbeleko amezikamata kuanzia wenyeviti wote wa ccm kila angle.........
 
nauliza kwa waliokuwepo ikiwa walibahatika kumuona She-buda...............
 
pembe zote za mbeleko amezikamata kuanzia wenyeviti wote wa ccm kila angle.........

Jamaa ana mikakati ya muda mrefu sana. Kakamata kila pembe. Sina uhakika kama kuna mwenye ubavu pale kwenye chama chake wa kumzui kuchukua fomu za uraisi ama kukata jina lake.
 
Mungu turehemu na warehemu wanafiki woote wanaomuunga mkono Lowassa. Namwogopa huyu jamaa kama mwiba kwa sababu hana maslahi kwa walala hoi bali anachokiwaza ni kujenga mahoteli na ikiwezekana barabara zake binafsi huku walala hoi wakiugulia maumivu.
 
Mimi na Kikwete hatukukutana Barabarani................inaonekana ana strong support ya Mkulu....................
 
Mungu turehemu na warehemu wanafiki woote wanaomuunga mkono Lowassa. Namwogopa huyu jamaa kama mwiba kwa sababu hana maslahi kwa walala hoi bali anachokiwaza ni kujenga mahoteli na ikiwezekana barabara zake binafsi huku walala hoi wakiugulia maumivu.
hakuna aliyeamnini kama Mkapa angekua Rais but yalitimia......siasa nyingi zimejaa propaganda
 
Back
Top Bottom