Jeremiah
JF-Expert Member
- Feb 17, 2009
- 644
- 129
Tatizo ni unapokuwa mwizi. Sifa ya uchapakazi inaishia hapo, kwani hata watoto tunawaita wezi na mama yao. Ukiacha mambo ya ndani na mkeo mengine tunahitaji ''A'' Flat MEEN.
Mwacheni lowasa apumzike kwa starehe. Ni mchapa kazi. Kila mtu anajua hilo.