maandaliz kabambe ya ushindi wa Charming lady

kumbe charmagirl tuko wote hapa jiji la miamba, nafollow kimyakimya mpaka siku ya mkesha nijue nawakuta wapi...kila la kheri charmagirl and the family
 
mkuu umepiga kura kwa charminglady???
 
nimekuja mume wangu watu8, huyu amu anaomba kujiunga familia yetu? namkaribisha ila ajue mipaka yake tu

amu dear kuja pande hii upokee ukaribisho wako...weye mwenyewe uamue kusuka au kunyoa!
 
Last edited by a moderator:

what a family yaani nimefurahije
ahsanteni sana sana.
Am humbled
 
Last edited by a moderator:
nimekuja mume wangu watu8, huyu amu anaomba kujiunga familia yetu? namkaribisha ila ajue mipaka yake tu

sawa dada nimekuelewa ahsante sana kwani dada una watoto wangapi????ili nami nijue niongeze wangapi?
 
Last edited by a moderator:
sawa dada nimekuelewa ahsante sana kwani dada una watoto wangapi????ili nami nijue niongeze wangapi?

mama ako unamuita dada? Huwezi kuwa hujalewa, au ndo unataka kuwa nyumba ndogo ya watu8. measkron kazi unayo
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom