maandaliz kabambe ya ushindi wa Charming lady

maandaliz kabambe ya ushindi wa Charming lady

nawaonea wivu na stress nliyonayo bora ningekuja kujumuika maana leo imeisha sijafanya kitu.nauhakika mpaka j3 sijafanya kitu

mmh na umekosa mengi dear wangu...hapa tupo beach kuna upepo mtamu.
 
Jamani ni furaha iliyojeeeeeer!!!!!!!!!!!!!
WanaJF wa Rock City na viunga vyake tafadhalini tujumuike mnamo tarehe 1 kusherehekea ushindi....

Wapi kwanza @C6, Chimbuvu, mgeni wetu Nicas Mtei, mama ya ukweee Elizabeth Dominic, Evelyn Salt??????

Bila kumsahau my new sis beibe nasty tafadhalini msiniangushe..... Karibuni nyoote!!!!

Wale wengine ambao sijawataja lakini wapo The Rock City karibuniiiiiiii

bila kunisahau half italian half msukuma, nimetua jana mwanza ntakuwepo mpaka mwaka mpya kabla sijarudi, hope mtanialika sherehe
 
sasa na sisi tuliopo kigoma itakuwaje maana tunapigana kumfanyia ushindi huyu bishosti..
 
Back
Top Bottom