beibe nasty
JF-Expert Member
- Apr 11, 2012
- 1,640
- 524
- Thread starter
- #41
Hahaha...una maneno wewe!
Dad unamuona Baba V anavonijibu.
Hahaha...una maneno wewe!
Dad unamuona Baba V anavonijibu.
Jamani ni furaha
iliyojeeeeeer!!!!!!!!!!!!!
WanaJF wa Rock City na viunga vyake tafadhalini tujumuike mnamo tarehe 1
kusherehekea ushindi....
Wapi kwanza @C6, Chimbuvu, mgeni wetu
Nicas Mtei, mama ya ukweee
Elizabeth Dominic, Evelyn
Salt??????
Bila kumsahau my new sis beibe nasty
tafadhalini msiniangushe..... Karibuni nyoote!!!!
Wale wengine ambao sijawataja lakini wapo The Rock City
karibuniiiiiiii
huyo mjomba ako ashaanza kuzeeka...
We valia kaptura au pensi nyanya na kaoshi na migomba then piga na laizon kwisha habari sawacharminglady, Dah! Mi niko Rocky city siku hiyo sijui nitokeje kwa furaha! ukumbi?
Hahahaha dad yan uncle kwisha habari yake kweli mama V atakua kamchosha saana eti mjomba Baba V utakuwepo katika sherehe ya niece wako cl
hahaha mumy kamwambia asivuke mipaka dear....ye mwenyewe atachagua awe cousin sis, aunt etc...
charminglady, Dah! Mi niko Rocky city siku hiyo sijui nitokeje kwa furaha! ukumbi?
Ole wako utudanganye tutakupeleka msituni sasa ustake kujua kitakachokukuta b52Naomba mambo yooooote ya vi-miminika jukumu liwe langu!
Of cos daddy... Anatakiwa kuwa cousin sis au aunt full stop!!!!!
Naomba mambo yooooote ya vi-miminika jukumu liwe langu!
hahaha haya daughter....
daughter, karibu Maembe ng'ong'o mie ndio nshafika huku mapenzi yalipozaliwa, Tanga tanga....
hahaha haya daughter....
daughter, karibu Maembe ng'ong'o mie ndio nshafika huku mapenzi yalipozaliwa, Tanga tanga....
hahaha haya daughter....
daughter, karibu Maembe ng'ong'o mie ndio nshafika huku mapenzi yalipozaliwa, Tanga tanga....
amu mie nina amu mwenzionawaonea wivu na stress nliyonayo bora ningekuja kujumuika maana leo imeisha sijafanya kitu.nauhakika mpaka j3 sijafanya kitu
Woooh thanks Daddy...... Upo kwenye msafara ama uko home???