Jibu sahihi ni kwamba walikua wanapambana na height...ukiangalia upande wa kushoto road imeinuliwa juu ila kulia road iko chini....so ili ku avoid steep slope ndio wakaintroduce hiyo round kama njia ya ku counteract hiyo steep slope!!Cheki reli hapo kushoto
Hamna injinia anaweza andika comment ya kijinga namna hii.Msipate shida, kuna wakati Mainjinia akili zao zinapagawa. Hilo ni eneo moja wapo.
Maeneo mengine wanaangusha maghorofa. Siyo mara zote wanakuwa makini na hapo ni ishara ya kukosa umakini wao.
UmenenaKama ukiangalia vizuri kutoka kwenye reli hadi kwenye hiyo main road si mbali sana, so ukitokea kwenye hiyo Overpass (Fly over) kwa kuwa distance ni fupi hadi kwenye hiyo road hapo so kama wangeunga moja kwa moja ingekuwa ni steep slope na kiusalama pale palipo na interchange (junction) haitakiwi kwa kuwa ipo considered kuwa wakati unashuka mlima afu mbele kuna junction na unatakiwa kusubiri unaweza kuteleza na ukasababisha ajali. So walichofanya hapo ni kuiua hiyo slope.
Ni sawa na kuwa na kona nyingi unavyopandisha mlima mkali mfano Kitonga, mara nyingi zile kona ni kwa ajili ya kupunguza muinuko (As a resting phase)
Sorry wakuu, siko vizuri sana kwenye kuelezea.
Ni mwinuko,siyo mlimaHuo mzunguko unasaidia kupunguza mteremko.
ukitumia hiyo michoro mbadala
kutakuwepo mteremko mkali na mlima mkali.
na ukitaka kuupunguza lazima barabara itakuwa ndefu na kuchukua nafasi kubwa.
hivyo suluhisho ni huo mzunguko.
Asante kwa masahihisho,kiswahili hapo
Hii ndio ile ya Tazara aka vpnimeikuta hii mahali,wasomi wa haya mambo mtujuze kwa taratibu za ujenzi wa ma flyover hiyo round hapo ina maana yoyote au just wasted![]()
Nadhani picha inajieleza vya kutosha.