Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,253
- 34,203
Unajua vizuri circular motion mkuu??Mzunguko huo umepunguza mteremko wa gafla(steep slope) ambapo magari yangeshindwa kupanda au kushuka. Hiyo barabara ya juu imevuka reli ( nazani unajua urefu treni wa kwenda juu) ndani ya mita chache toka kwenye reli barabara hiyo ingetakiwa ishuke kama ulivyoweka alama , hiyo ingesababisha mkunjo down wa gafla ambapo gari zisingepanda au kushuka
Je pakiwa na steep slope alafu uka introduce circular path huoni kama unaongeza mafuta kwenye moto??