Maana ya neno "Snitch"

Senator jr

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2016
Posts
368
Reaction score
498


Ukitaka kujua maana ya snitch...na mfano wake ni Mrisho Mpoto.

Msanii aliyejifanya kuikosoa serikali kwa kupitia sanaa kumbe ni mnafiki mkubwa mbele ya jamii hii na ni fisadi mkubwa anaye kula na mafisadi nadhani hii ninjaaa na kufanya sanaa ya unafki "usnitch".

Mziki wakweli ni ule unao fanya kutoka Moyoni.

Nilishtuka toka siku nyingi tuu thats why nilikataa nyimbo zake hazifanywi kutoka moyoni ni unafki na snitch.
 
Yeye anafanya sanaa kama kazi na sanaa na siasa ni vitu viwili tofaut
 
Huyu ni mnafiki na msaliti kama poleple na wenzake, wanaujua ukweli wanaupindisha kwa ajili ya matumbo yao, lakini Mungu ni mkweli na haki yake itasimama milele.
 
Huyu ni mnafiki na msaliti kama poleple na wenzake, wanaujua ukweli wanaupindisha kwa ajili ya matumbo yao, lakini Mungu ni mkweli na haki yake itasimama milele.
Mungu anawaangalia sana watu wake ..Waendelee tu kupotosha jamii ila ukweli utabaki kuwa ukweli na Namuombea sana kaka Jpm atawanyoosha tu..
 
huyo ni Kama Wasanii wa maigizo, anatembea peku huku amebeba Ipad, na kuchat kama kawa .. Hahahahahahah!
Tafakari sana matendo yake utaona na Ucha..wi unahusika
 
Nilikuwa ninamkubali,kumbe ni Snitch kiasi hicho,duh ni noma kwelikweli.
 
Kila mtu na tafsiri yake, binafsi sion unafki wa mtu huyu. Anachokifanya ni kuufikisha ujumbe pahala husika.
 
Halafu huyu mtu anajikomba sana kwa kuitegemea serikali. Huwa simpendi kujifanya anathamini utamaduni kumbe anaona wapi penye upenyo wa kuganga njaa! Kiswahili alisoma wapi? maana anjifanyaga mtaalamu wa kiswahili
 
Mmmh
 
MRISHO MPOTO aka MJOMBA,
Kaona Mpenyo Kaamua Kuitumia Fursa!!!!
 
Tatizo unapokuwa umeathirka unaamin kila anaeingia ktk chumba cha kuchukulia dawa za ugonjwa uliokuathiri nae ni mgonjwa.
 
pia viatu anaviacha ndani ya gari, akiona watu wengi anatoka pekupeku.
Siku nilipomgindua huyu jamaa kuwa hayuko kama anavyotaka tuamini ni siku alikua anahojiwa star tv.. walimtembelea nyumbani kwake.

jamaa nyumbani kwake sijaona anaaply huo utamaduni wa kiafrica wala nini, nyumba ina tiles, masofa ya maana.. nk

alafu mwisho wa kipindi akamkaangia mtangazaji mayai ya KISASA (tena amejaza matrei ya kutosha tu) kwenye jiko la gesi

huyu jamaa anatumia fursa tu lakini hamna cha utamaduni wala nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…