Maana ya mwaka mpya na mambo mapya ni:-

Maana ya mwaka mpya na mambo mapya ni:-

Kama una mke badili uoe mwingine, hapo utakuwa na mambo mapya ndani ya mwaka mpya.
A%20S%20465.gif
A%20S%20465.gif
A%20S%20465.gif
A%20S%20465.gif
A%20S%20465.gif

weeeweee! Acha kucheza na mbavu za watu asubuhi asubuhi.hahahaa huyo unae muacha nae anaenda kuolewa huko nae anaenda kuonekana mpya.
 
eti excellent aliniambia wewe unaupendo 20% ukorofi 30% wivu 50%

hapana alikosea sana tena ndo maana anajichanganya nina upendo kwake 100% lakini bado hajakua kulielewa hilo akija kuzinduka nitakuwa nishabebwa na wengine
 
analijua hilo anafanya makusudi keshapata kina mwali wanamzuzua akili

lol ningekuwa mie ndo excellent ningefungua id mpya.ili nimwage yoote yangu toka moyoni sasa na wasi wasi ndoa yenu tayari imeingia doa. Inabidi akutupie ka pea kamoja ka wax ilikuzima hilo tifu.maana mpaka sasa umeshajielewa wewe upo upande gani..
 
na kweli,imeshaingia doa tena hata sijui labda atumie jiki ndo litatoka.Mwanaume hajui kapendwa, hajui kuappreciate anapopendwa kila siku yeye visa tu, kisa na mkasa aje kuniua kwa presha wakati kuna wengine wananihitaji lol
 
sasa ngoja nikushauri fanya hivi kanunue wigi kama la yule mama wa mjengoni najua udhaifu wa bwana mdogo upo kwenye mawigi na sauti jitahidi kuibana unapo ongea nae yaani uwe unaongea kama vile umemeza twita sauti nyembaamba na uache ile tabia yako ya kuwa unamkazia macho sana.unajua wewe ulipoenda kwenye mafunzo ya kijeshi imekuwa tabu mtupu.unampigisha paledi mtoto wa watu mpaka anatamani mwakani atafute mwingine.
 
hahahahaha ushauri matata.alinipenda hivi hivi kama kaacha basi tena
 
Back
Top Bottom