Maana ya mwaka mpya na mambo mapya ni:-

Maana ya mwaka mpya na mambo mapya ni:-

Slave

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2010
Posts
5,313
Reaction score
2,657
Ni kuanza na vitu vipya. 1.nguo mpya. 2.maisha mapya. 3.Kazi mpya. 4.mpenzi mpya. 5....... 6....... Au wewe msemo wa mwaka na mambo mpya unauelewaje?!!?
 
Hapo kwenye mpenzi mpya kama naona nitatongoza mana mambo hayajakaa sawa kwa sasa.
 
ni maneno ya kujipa moyo lakini kihalisia sio kweli..
 
Mwaka mpya mambo mapya,ila km uliyokuwa nayo ni mazuri huhitaji kuwa na mapya kwa kuwa hayo mapya yanaweza kuwa si mazuri.
Kama kuna vitu vilikukwamisha achana navyo,tafuta mambo mapya then 2012 itakuwa Shwaaaaaaaaaari
 
Hama mpaka nchi kabisa, badili na jina, kabila mpaka ukoo ili uwe mpya kweli kweli.
 
mwaka mpya na mambo mapya ni kua na fikra mpya na mawazo mapya ya kufanya mabadiliko mapya.
 
Mwaka mpya mambo mapya,ila km uliyokuwa nayo ni mazuri huhitaji kuwa na mapya kwa kuwa hayo mapya yanaweza kuwa si mazuri.
Kama kuna vitu vilikukwamisha achana navyo,tafuta mambo mapya then 2012 itakuwa Shwaaaaaaaaaari

kwahiyo kumbe inategemeaeee?
 
Kama una mke badili uoe mwingine, hapo utakuwa na mambo mapya ndani ya mwaka mpya.
A%20S%20465.gif
A%20S%20465.gif
A%20S%20465.gif
A%20S%20465.gif
A%20S%20465.gif
 
Back
Top Bottom