ChaterMaster
JF-Expert Member
- Aug 17, 2009
- 1,623
- 808
Wakuu juzi katika mihangaiko ya hapa na pale ndani ya jiji letu hili nlijikuta nko ndani ya DCM Toyota la Mbagala Rangi3 likiwa limeshehen nyomi la watu; sasa kwenye daladal kam mnnavojua hakukosekan story 2,3
Akaibuka mama mmoja anadai et watu wa Mbagala wabadilishiwe jina hlo maana uhalisia wake sio mzuri ulitokana na historia ya kipind cha nyuma uliokuwa unamaanisha..
MBA-Mbali na mji
GA-Gari hakuna
LA-Lami hakuna
Sasa wadau mwenyew nlkuwa cjui basi ndo nikajua historia hyo fupi ila nkaona nwashirikishe kujua kama ina ukwel wowote au mama aliamua kutupiga fx maan wengi kweny daladal tulikuw vijan wengi , watu wazima wachache.
Nawasilisha..!