Maana ya Income tax ya gari,

Mamzalendo

JF-Expert Member
Dec 29, 2010
1,659
545
Jamani wandugu naombeni msaada kama nina gari yangu aina ya pick up na ikoregistered kama private kwa nini nilipe income tax wakati si ya biashara,coz kuna meneja wa tra ameniambia eti kama nisingekuwa na hiyo pick up si ningekodi gari kwa hiyo tugawane huu hi ni nini kwa hyo wote wenye magari binafsi walipe income tax kisa hawapandi daladala,naombeni mnieleweshe jamani,
 
Stj 2011

Member
May 20, 2011
9
1
Nitakupa jibu kesho nikifika ofisini baada ya kuangalia regulations sinasemaje.

ahsante sana kwa sababu gari tumewaachia huko tra eti wanataka 95000 na 20,000
kama faini na 10000 kwa sababu linalala hapo,kwa lipi mi ndo sielewi nasubiria jibu,pia kama unaweza kunijulisha kodi za muhmu itakuwa vizuri nashukuru,
 
0 Reactions
Reply
Top Bottom