Maana ya hii phrase "THIRD LOVE"

Maana ya hii phrase "THIRD LOVE"

Thug Life...

Ni hali ya mtu kuanzia maisha ya chini na ya tabu, ila akapambana mpaka kua na maisha mazuri na yaliyo bora...

Ni sawa na kusema 'from nothing to something'...

Cc: mahondaw
 
Back
Top Bottom