Maana ya hii phrase "THIRD LOVE"

Maana ya hii phrase "THIRD LOVE"

kuna theory inaitwa third or three love theory ingia google uisome...... lakini pia kumbuka kuna kampuni ya nguo za ndani za wanawake inaitwa thirdlove.
 
Alafu nahisi sasahivi umenizidi umri ujue, mwenzio haujaongezeka niko pale pale.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Khaah kwahiyo umebonyeza kitufe cha pause?
Haki umenishinda tabia ujue
 
Back
Top Bottom