Yesu hakuwa mweupe.. Utasamehewa kwa kufikiria vinginevyo kutokana na yale tunayolishwa na kukaririshwa kwenye makanisa yetu tokea utotoni. Na kwenye bibilia hakuna maelezo ya kimwili (physical description) yanayoelezea rangi yake na vitu kama hivyo, hakuna shaka pia kwamba Yesu wa kihistoria.. mtu aliyeuawa na Serikali ya Roma katika karne ya kwanza.. alikuwa Myahudi wa Mashariki ya Kati mwenye ngozi ya kahawia(brown) maana watu wa mashariki ya kati ndivyo walivyo.. Pia naamini kutengenezwa movie zinazoelezea maisha ya Yesu na akiwa na muonekano wa mtu mweupe tena mwenye macho ya blue si kitu kibaya.. ila kukitengenezwa movie ya Yesu akiwa mweusi kama m'sudani kusini pia si tatizo. Sidhani rangi ni kitu cha kuwachanganya waaminio au chakuwafanya kujisikia inferior kisa ana rangi tofauti na Kristo. Kitu kibaya ni pale wazungu wakileta 'White Supremacism' na hata wakimtumia Yesu katika ushetani wao huu.. Kwanza kwenye kusoma kwangu bibilia sikuwahi kuona kua Yesu alifika hata ulaya😂 ila Africa alifika na akaishi miaka mitatu mpka Herode alipokufa ndio akarudi zake mashariki ya kati..PURE TRUTHView attachment 2057456
Chambuzi makini sana hiiYesu hakuwa mweupe.. Utasamehewa kwa kufikiria vinginevyo kutokana na yale tunayolishwa na kukaririshwa kwenye makanisa yetu tokea utotoni. Na kwenye bibilia hakuna maelezo ya kimwili (physical description) yanayoelezea rangi yake na vitu kama hivyo, hakuna shaka pia kwamba Yesu wa kihistoria.. mtu aliyeuawa na Serikali ya Roma katika karne ya kwanza.. alikuwa Myahudi wa Mashariki ya Kati mwenye ngozi ya kahawia(brown) maana watu wa mashariki ya kati ndivyo walivyo.. Pia naamini kutengenezwa movie zinazoelezea maisha ya Yesu na akiwa na muonekano wa mtu mweupe tena mwenye macho ya blue si kitu kibaya.. ila kukitengenezwa movie ya Yesu akiwa mweusi kama m'sudani kusini pia si tatizo. Sidhani rangi ni kitu cha kuwachanganya waaminio au chakuwafanya kujisikia inferior kisa ana rangi tofauti na Kristo. Kitu kibaya ni pale wazungu wakileta 'White Supremacism' na hata wakimtumia Yesu katika ushetani wao huu.. Kwanza kwenye kusoma kwangu bibilia sikuwahi kuona kua Yesu alifika hata ulaya[emoji23] ila Africa alifika na akaishi miaka mitatu mpka Herode alipokufa ndio akarudi zake mashariki ya kati..
Matayo 3 :13
Walipokwisha kuondoka, malaika wa Bwana alimtokea Yosefu katika ndoto akamwambia, “Amka, umchukue mtoto na mama yake mkimbilie Misri na mkae huko mpaka hapo nitakapowaambia; kwa maana mfalme Herode ataanza msako wa kumtafuta huyu mtoto ili amwue.”
View attachment 2057550
View attachment 2057554
View attachment 2057555
Nilifikiri kwa mlengwa wa jinsi Afican American wanavyo jilinda dhidi ya uonevu wa whites...protective dog,gun and a vehicle to run away when things go south.Nini sasa huo bingwa kumkata mwenzie mkiaView attachment 2057857
Hii niwehai kuiona imetafasiriwa mahali "kwamba huyo jamaa alikuwa anasafirisha hayo matairi kwenda mahali, akiwa njiani pori kwa pori akapata pancha. Akiwa amesimama akitafakari atafanyaje akagundua hakua na spea tairi, kwakuw alikuwa anasafirisha matairi akili ya haraka ikamwijia kuwa tairi hizo zinaweza kuwa msaada kwake akapata spea humo aweke ili aendelee na safari lakini baada ya kujaribu kila tairi aligundua matairi yote hayo hayakuwa saizi inayofiti kwenye gari lake" .... Mwisho wa strori fupi.Ni kama huyu jamaa ana rasilimali lakini hajui kuzitumia...View attachment 2033627
Duh kweli kabisaNi kama ni kawaida kukosea kabla hujafikia mafanikio...You have to break few glasses before reaching success.
Umetafasiri vizuri sanaWote walikuwa wafungwa wa fikra lakini mmoja anaonekana amekua huru kwenye kifungo hicho kwa ajili ya kujisomea na kupata maarifa mapya.. na hata ukiangalia hao wawili nyuso zao hazina nuru wala matumaini ila huyo ambae ametoa lock unaona sura yake imechangamka
Mi naona Kama alama ya illuminati mdomoni.