Maana ndani ya picha - njoo tutafute maana

Author

JF-Expert Member
Jan 24, 2014
1,709
8,007
Kwa mara kadhaa nimekuwa nikikutana na picha au michoro mbalimbali ambayo wakati fulani ni vigumu sana kuelewa maana yake. Karibu na wewe uweke picha ambayo unadhani mpaka leo imekusumbua sana kuielewa au haujaielewa.

Wadau tusaidiane kutafuta maana...Mimi nitashare kadhaa kuanza na hii hapa
IMG_20211127_081150_110.jpg
 
Hii inahusu watu walio addicted na mitandao. Hapo chini unaona kuna vitu vimetengeneza taswira ya maji(bahaari) na nyuma ya mtu vitu hvyo hvyo vimetengeneza taswira ya mawimbi vikiwa vimemkumbatia mtu na huyo mtu akipita katikati yao(sehemu inayoonekana kuwa kavu) peke yake huku kashika kifaa kama simu pasipo wasi wasi. Baharini ndipo palipopitishwa miundombinu inayotufanya tuweze kupata huduma za internet, kwaiyo hapo ni kuwa bahari imetufanya/ kuturahisishia kuweza kutembea na wapweke huku tukijihisi kuna watu tupo nao wametukumbatia.

Ndivyo ninavyo hisi
 
Hapo unaona mtu kachora vitu kama duara. A kujibakizia sehemu ndogo tu kwaajiri yake so hawzi toka tena. Hiv ndivyo maisha ya wengi yalivyo tumejiwekea limitations/ boundaries(vikwazo/mipaka/vizuizi) vinavyo tufanya tusiwaze au kutenda zaid ya hapo kwa kuhisi tuna jirinda au ndivyo inatakiwa tuishi. Hizo limitations zinaweza kuwa katika kufikiri, katika utendaji wetu wa majukum, katika iman zetu, katika mahusiano yetu nk lakin ukwel ni kwamba tukifuta mipaka tuliyojiwekea tutafanya vizur zaid
 
Back
Top Bottom