G'taxi
JF-Expert Member
- Sep 15, 2013
- 6,565
- 8,427
Kuna siri za familia yako ambazo jirani hatakiwi kujzijua usiku mmefanya nini au mnaishi vipi,kuna siri zako binafsi ziwe mbaya au nzuri lakini huwezi kumwambia mkeo/mumeoKwa kuwa sijui Kama nimeamka vibaya au vizuri naomba niende moja kwa moja kwenye kilichonituma niulize swali hapo juu.
Kumekuwa utaratibu uliozoeleka hapa bongo unaoitwa Siri za nchi na kwanini kuwepo na usiri katika baadhi ya mambo yanayolihusu taifa...
Unashangaa Taifa kua na siri zake