Ni Sheria namba 4 ya mwaka 1970.Nimekwambia Google Sheria ya Utunzaji wa Siri.
Hii ishu ya viongozi kupewa sumu ni SIRI kwa wengi wanaohusika na wachache wanaofahamu kwa undani wake.. Lakini nyakati zikitimia moja moja itadondoshewa jamiimf; jpm aliwahi nusulika kufa kwa sumu zaman sana enz za uwazili ila hakuwahi sema;;amekuja sema hiv majuz koz haikuwa siri tena,coz ilikuwa kitambo,, nimeongeza ili aelewe mleta mada
Asante sana Sana..mf; jpm aliwahi nusulika kufa kwa sumu zaman sana enz za uwazili ila hakuwahi sema;;amekuja sema hiv majuz koz haikuwa siri tena,coz ilikuwa kitambo,, nimeongeza ili aelewe mleta mada
Na wewe endelea kuandika Kama binti wa kike tuzidi kukufukuza kwenye nyuzi za wanaume.Endelea kuishi na kufugwa kwa mjomba.
Mkuu umeaka na makasiriko sana. Wote tuna maisha magumu hivyo punguza makasiriko ya kipuuzi. Huna jibu la kumpa tulia.Wewe ni mshamba tu huwezi kukataa hilo kama binadam anazosiri nchi itakosaje siri
USSR
Taifa ililiendeshwe ni lazima kuwepo siri nzito za kiutawala , kiuchumi, kijamaa, kisiasa, ili kulinda usalama wa Taifa...
Ukitaka kujua siri nzito..za nchi mkuu jiunge na idara ya usalama wa Taifa.. na wewe ujifunze hizo siri ila out of that you can't know.
Sawa ila hayo ya mtu mmoja mmoja hayana shida.Kuna mambo lazima yawe siri tu hata chumbani kwako.
Udhaifu wako
Mipango yako
Utegemezi wako
Itikadi zako
Tabia yako
Asili yako
Igeuze kwenda kwenye swali la muulizaji.
JamiiForums mobile app
GoodIn fact sio SIRI kana SIRI bali ni taarifa fulani kwa kundi fulani la watu na kwa wakati fulani.. Kiingereza inaelezeka vizuri zaidi kama CLASSIFIED INFORMATION kwakuwa hakuna SIRI ya watu wengi
Wenzetu kwa kutambua binadamu hawezi kukaa na kitu rohoni milele basi huwa na utaratibu wa kuujulisha umma habari fulani muda unapopita na inapoonekana habari husika haina madhara tena
1.Kuna 'siri' huwa wanazifahamu marais tuu(lakini kiuhalisia sio siri bali ni classified information
2. Kuna hizo siri wanazifahamu rais na mawaziri tuu
3. Kuna hizo siri wanazifahamu wabunge tuu..
Mambo huenda hivyo mpaka level ambayo hufikia isiwe siri tena kwakuwa jambo fulani kadiri linavyozidi kufahamika na wengi ndio 'usiri' wake hupungua
Kitengo cha usalama wa taifa ndio huwa kina dhima na jukumu la kutunza kinachoitwa siri za nchi..lakini nao si wote wanaweza kujua kila kitu kwa wakati fulani
Ambazo zipo nje ya mamlaka yako.Noo simaanishi ziandikwe hapa.
Nilimaanisha niambiwe Siri gani sitakiwi kuzijua Kama raia wa kawaidana faida yake ni ipi nikizijua aunikiendelea kutozijua.
Nyoosha maelezo Siri gani hizo.?Ambazo zipo nje ya mamlaka yako.
Hata ukizijua huna amri yakuzisema.
Subiri tukuteue halafu tukutegeshe hizo siri uzione kama utatoa nje.
Idadi na aina ya silaha,
Yule msukuma wa Ushetu Kahama Elias Kwandikwa? Alikuwa chini chini na kaanzia jeshini kumbe alikosea akatapika siri wakaamua kudeal naye???!!!Mkuu usitake kuzijua!ukizijua hutokua Salama!!!Kuna mambo hufanyika kwa siri kwa usalama wetu!kuna watu huuawa,hufungwa hata hutiwa vilema ili nchi iwe salama!!!Mf. majuzi tu hapa tumempoteza Waziri fulani kwa kosa la kutotunza siri za nchi yetu!!!RIP E.K!!!
maana halisi ya siri za serikali ni mfano pale makomandoo wanaomlinda mbowe ambao wameshitakiwa naye, wanapokuwa walikula kiapo cha kufa na kupona kulinda siri za serikali, halafu mbowe na chadema wanaamini ni wenzao hadi wanawatetea, bila kujua kuwa wale walikula kiapo cha kufa na kupona na maisha yao yote watakuwa loyal kwa serikali kuliko kwa mbowe na chadema. hivi huwa wanafikiria hili?Kwa kuwa sijui Kama nimeamka vibaya au vizuri naomba niende moja kwa moja kwenye kilichonituma niulize swali hapo juu.
Kumekuwa utaratibu uliozoeleka hapa bongo unaoitwa Siri za nchi na kwanini kuwepo na usiri katika baadhi ya mambo yanayolihusu taifa...
Wewe!! shauri yako!!!we fungua code tu!!!!usije lazimishwa umeze kidonge kama mwenzio!!!!Yule msukuma wa Ushetu Kahama Elias Kwandikwa? Alikuwa chini chini na kaanzia jeshini kumbe alikosea akatapika siri wakaamua kudeal naye???!!!