Maamuzi ya Prof Ndalichako yanashangaza

Maamuzi ya Prof Ndalichako yanashangaza

Nilishasema toka awali kua huyu mama anakurupuka sana watu wakapinga vikali. Mpaka hapa sijaona mwelekeo wa mafanikio kwa uwepo wa huyu mama Wizara ya Elimu. Wizara ya ELIMU sio NECTA, sio taasisi ndogo! Hii wizara ndio moyo wa nchi.

Sijui mwaka huu vyuo vikuu vingapi vitakavyopokea wanafunzi wa fani za Sayansi. Utaratibu wa kizamani sana huu.
Anafata maelekezo ya KITI...so kila ..anachofanya kinabaraka ya Kiti
 
A professor is a person who knows much about a very little thing...

Ipo shida..huyu mama naona ameanza jutoka nje ya mstari
 
Mm sitasahu yule aliyesema physics na chemistry ni somo moja [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] futa bookkeeping na commerce
Yule bwana alikuwa na vituko vyenye vivuko. 1. Yule ndiye aliesema hatambui special schools. Tukakaa kimya. 2. Akachakachua shule nyingi za boys ziwe na girls, mf Azania. Tukakaa kimya. Hakukoma. 3. Akasema geography, history na nini sijui, ni somo 1 liitwalo: SOCIAL SCIENCES. Tukakaa kimya. 4. Akafuta UMISSETA! Daaah, Yule jamaaaa yule!
I miss you Mumbai, sorry, sio Mumbai.
 
Mm sitasahu yule aliyesema physics na chemistry ni somo moja [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] futa bookkeeping na commerce
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nilicheka sana enzi hizo
 
Viongozi wa kisiasa ndio wanao haribu elimu ya nchi hii.
Kila waziri anaekuja anakija na style yake. Iliradi akitoka kesha chafua mtaala anapita hivi....
Wanadhani kila mtu akisoma sayansi hizo fani nyingine ni nani atafanua?
Wana maana jakuna tena wakusoma sjeria, utawala, ualimu, mambo dini nk!! Yaani Tanzamia ya viwanda....
Maigizo tuu hapa.
 
Huyu Mama mwanzoni alionekana kama mkombozi kwenye sekta ya elimu lakini inaonekana kuna jinamizi ambalo tayari limeshamwingia...
Anaweza akaboronga zaidi kuliko watangulizi wake na itachukukua miaka mingi sana kuitengeneza status nzuri ya elimu Tanzania!
Tunaanza vizuri kisha kabla ya kumaliza kimoja tunaingiza mambo mengine mengi na kutaka kuyatimiza kwa muda mfupi bila kufanya tafiti za kutosha!
Suala la elimu si la kutolea tu matamko na kutaka utekelezaji ufanywe mara moja, inahitaji kufanya tafiti na kutoa tathmini na majadiliano kufanywa na wanataaluma, na siyo kufuata mihemko ya kisiasa ili kufarahisha watawala au wanasiasa!!
 
Mm sitasahu yule aliyesema physics na chemistry ni somo moja [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] futa bookkeeping na commerce
Joseph Mungai huyo enzi zake akiwa kakalia kiti chenye mamlaka akilala akiamka, "futa ufundi, futa kilimo, futa biashara, unganisha phys na chem" daa huyu bwana nami alinishangaza haijapata kutokea.
 
Kila siku ni kama elimu yetu inafanyiwa experimentation. Huwa hakuna thorough discussion wala research kabla hatuja fanya maamuzi yanayogusa elimu yetu.

Kwa hili ni kama maamuzi ya ghafla ambayo hayajafanyiwa tathmini, huwezi ukamlazimisha kila mtu asome science mpaka form four, kuna wengine hawayawezi or some hawana interest na masomo hayo.

Sasa ukiwalazimisha wanafunzi wayasome, wakifeli je?

Ndo hiyo yanatokea kama matokeo ya necta 2012 ambapo large percent walifeli...So wanaanza kupanua magoli na kusahisha upya mitihani.Kumbe it was just a consequence of our actions.
 
Naiona sayansi ileeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee inaendato kufaaa
Walimu wenyewe ni wakuungaunga sasa kidato cha 4 kduna shule wanakua 200 vipi wamejipanga na yafuatayo?
Maabara na vifaa vyake??
Walimu, na mambo yenyewe ndio hayoooooo mwalimu wa sayansi apige form 1 mpaka form 4 hafu hela achukue sawa na mwalimu anaefundisha kiswahili form 3A pekeee
 
sekta nyeti kama hizo wamekosea sana kumuweka mwanamke (huwa napenda sana movie ya kanumba ya moses) mle ndani kaeleza kila kitu ndo tunaona sasa ....kawaida mwanamke akiamua kitu hawapendi kushauriwa ukimshauri anadhani unamdharau kuna mambo anaamua bila kutumia akili wala nn
 
Yani hata na mimi nimeshangaa, kwa hali halisi hata wale waliokuwa na unafuu kwenye masomo ya sanaa ndio watapoteana kabisa. Sioni ni kwa namna gani wataweza kuubeba huu mzigo wa Sayansi wakati wa Arts unawasumbua.
 
Ngoja tu niendelee kuvumilia kuwa mtanzania na serikali hii ya mwendokasi.
Sayansilazima! Hao walimu wa sayansi wako wapi? Maabara je na wataalamu wake.
 
Wengi mmeona habari ya leo kuwa sasa ni lazima wanafunzi wote wasome Sayansi kabla ya hiii zimekuwepo habari nyingi za kushangaza za wizara hii ya elimu. Siku Magufuli aliposema anashangaa fimbo kupigwa marufuku mashuleni, kesho yake tu Wizara hii ikatangaza 'fimbo kurudishwa mashuleni'
yaani halikuwa na mjadala wala kutolewa maelezo labda why fimbo zilizuiwa mwanzo au kuna watalaam gani walihusika kufikia maamuzi.

Halafu yakaja maamuzi ya kuongeza ufaulu ili kujiunga na vyuo, hili nalo limechukuliwa kama Tanzania ni kisiwa vile mpaka sasa wala hakuna maelezo iwapo mwanafunzi wa kitanzania akipata nafasi kusoma nje ya nchi kwa ufaulu ambao hapa nchini haumruhusu, vyeti vyake vitakuwa na 'status' gani hapa nchini mradi maamuzi ya wizara hii sasa ni kama vile Tanzania ndo 'The world'
na kila atakachoamua yeye ndo 'final'

Huyu mama na Mabosi zake wanasahau kuwa tuko katika 'global village' Maamuzi ya ajabu ajabu sanasana yatawaathiri watoto wa masikini tu
wengine wenye options za kusoma nchi jirani na nchi za mbali hayatawagusa na mwishowe watakao 'umizwa na maamuzi' haya ni watoto wa masikini.Sasa hili la lu kulazimisha Sayansi nalo unajiuliza nchi ngapi duniani linatumika?

Je mtoto wa kitanzania akisoma Kenya au Uganda au kwingineko
ambako hakuna 'maamuzi ya aina hii' huyu mama atafanyaje? Hivi why 'tuna invest kwenye kuongeza kero na vizingiti' vya kila aina kwa watanzania? Kwani Tanzania ni kisiwa? Si masuala ya elimu yanapaswa kuwa 'Universally acceptable'? Sasa huyu mama ndo mifano wa maprofessa wetu?
Umeona wapi mtoto anapingana na babake?
 
Yule Prof nae anaanza kulewa zile sifa! Anaanza kuropoka bila utafiti! Nadhani nae alikuwa mtafiti labda alitafiti ili awe na ajira sio toka rohoni! Sasa ameanza kukurupuka! Tuta fix tu soon! Anahitaji exposure nadhani hilo halijui! Apate kwenda nchi za jirani akajifunze asituletee wazimu wake anafikiria na kuropoka!!! Wanatuharibia nchi yetu hawa na matamko yao!
Siyo sifa sema anafuata kilichosemwa na mkuu wake wa kazi
 
Anasema eti kuelekea Tanzania ya viwanda Sayansi ni lazima
nimejiuliza USA na China huko kote walilazimisha wanafunzi wote kusomea Sayansi?
au hii yetu ni 'ubunifu mpya'?
Hayo masomo yenyewe hayajajengewa mvuto kwa wanafunzi ili yawavutie kusoma, walimu ni shida,maabara hakuna(wenye nazo vifaa hakuna),wataam wa maabara hakuna, vitabu vyenyewe taabu.
Mie nadhani wangeshughulika na what maters kwanza then watoto wenyewe watayapenda tu hayo masomo bila kulazimishwa.

Tatizo now kila kitu kinalazimishwa tu. Yaani hata tuvimbe na tupasukeeee, nimekumbuka tu ule wimbo.
 
Wengi mmeona habari ya leo kuwa sasa ni lazima wanafunzi wote wasome Sayansi kabla ya hiii zimekuwepo habari nyingi za kushangaza za wizara hii ya elimu. Siku Magufuli aliposema anashangaa fimbo kupigwa marufuku mashuleni, kesho yake tu Wizara hii ikatangaza 'fimbo kurudishwa mashuleni'
yaani halikuwa na mjadala wala kutolewa maelezo labda why fimbo zilizuiwa mwanzo au kuna watalaam gani walihusika kufikia maamuzi.

Halafu yakaja maamuzi ya kuongeza ufaulu ili kujiunga na vyuo, hili nalo limechukuliwa kama Tanzania ni kisiwa vile mpaka sasa wala hakuna maelezo iwapo mwanafunzi wa kitanzania akipata nafasi kusoma nje ya nchi kwa ufaulu ambao hapa nchini haumruhusu, vyeti vyake vitakuwa na 'status' gani hapa nchini mradi maamuzi ya wizara hii sasa ni kama vile Tanzania ndo 'The world'
na kila atakachoamua yeye ndo 'final'

Huyu mama na Mabosi zake wanasahau kuwa tuko katika 'global village' Maamuzi ya ajabu ajabu sanasana yatawaathiri watoto wa masikini tu
wengine wenye options za kusoma nchi jirani na nchi za mbali hayatawagusa na mwishowe watakao 'umizwa na maamuzi' haya ni watoto wa masikini.Sasa hili la lu kulazimisha Sayansi nalo unajiuliza nchi ngapi duniani linatumika?

Je mtoto wa kitanzania akisoma Kenya au Uganda au kwingineko
ambako hakuna 'maamuzi ya aina hii' huyu mama atafanyaje? Hivi why 'tuna invest kwenye kuongeza kero na vizingiti' vya kila aina kwa watanzania? Kwani Tanzania ni kisiwa? Si masuala ya elimu yanapaswa kuwa 'Universally acceptable'? Sasa huyu mama ndo mifano wa maprofessa wetu?

Kama ni kwa o' level tu namuunga mkono. Ku-opt masomo katika ngazi za chini ni tatizo. Kuna shule wana chagua msomo bila mpangilio mwisho mtoto anamaliza form four anakosa muunganiko wa comb. Pia science inafanya akili ya mtoto iwe active. Wasome yote. Akifika form five atasoma anayoyataka. Pia wengi wana-opt kwa kufuata mkumbo akifika form four ndo anagundua alichemka na ndo hawezi kurudi nyuma tena.
 
Sema taratibu kabla hujasikia katazo la kutengeneza kitu kama hujapewa kibali na mamlaka husika

Hili tangazo kuna probability ya kulileta maana siku hizi hata mwenyekiti wa mtaa tu ati yeye naye ana cheo anaweza kukufungia biashara yako anytime akiamka vibaya. Ila wakileta kitu kama hicho ni tiketi ya kwenda kufanyia kazi nje, ya nini kusumbuka sehemu ambapo hawakutaki au wanakusumbua huku zipo nchi tayari kukukumbatia na kukupa msaada kama unachokifanya ni cha muhimu.
 
Hapa tunakosea kanuni moja muhimu sana katika maisha: Public interest is normally attained through individual interests. What is personal interest?

1. A feeling of having your attention held by something, or of wanting to be involved with and learn more about something:

2. Interests are the activities that people enjoy doing and if linked to the subjects, means those subjects that he or she likes to spend time learning more about it.

3. Something that s/he consider is important or necessary in some way that has to devote more time to get involved or understand deeply on it.

Interest huwa hailazimishwi (you can only create good environment to raise people's interest in particular thing), na ukiilazimisha inapunguza "specialization" kitu muhimu sana katika huo ujenzi wa Tanzania ya viwanda.
cc: North korea
 
Back
Top Bottom