Maamuzi ya ndani

sijui kwa nini ila ninafikiria kizazi cha "baby boomers" ndo kimetufikisha hapa tulipo, na bahati mbaya sana bado kina nguvu kubwa na hivyo kuwa na 'influence" kwenye maamuzi mengi yakiwamo hayo yaliyogusiwa na mtoa mada 'MAAMUZI YA NDANI'.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…