britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 17,969
- 45,787
Balozi asibezwe Nina taarifa fulan, kwenye mahojiano na kamati fulan ya maadili kuna mambo kawakazia macho! Yule KOSWE akajing’ataKwa aibu!
Hapo ndio tutaanza maandamano yasiyo na ukomo nchi nzimaDI PII PII Hana Nia ya Kuendelea na mchakato
Jamaa anakuwa nje next month
Britanicca
Jamaa ka set standard za upinzani upya nchini !!Hapo ndio tutaanza maandamano yasiyo na ukomo nchi nzima
Koswe hakujikojolea? Nasikia seal zimekatikaBalozi asibezwe Nina taarifa fulan, kwenye mahojiano na kamati fulan ya maadili kuna mambo kawakazia macho! Yule KOSWE akajing’ata
KOSWE ye ni kusinzia tuKoswe hakujikojolea? Nasikia seal zimekatika
Haya mambo hayataki hila. Lazima ukweli, uwajibikaji then maridhiano yafanyike. Kinyume chake kila njia za hila ku solve itazaa matatizo mengine makubwa zaidi. Tunahairisha matatizo na kusuka mengine! Italeta matatizo mengi
Ushujaa wake utaonekana akifanyia kazi humo humo ndani.DI PII PII Hana Nia ya Kuendelea na mchakato
Jamaa anakuwa nje next month
Yaan ni shujaa kaset standard za upande fulan kwa kuumia yeye! Tutaheshimiana sana
Britanicca
Kwamba abaki NYAVU?Ushujaa wake utaonekana akifanyia kazi humo humo ndani.
Huku nje hana kitu kabisa huyo
Basi umenichanganya na habari zako za mwanzo.Anaye achiwa si mjinga kuna jambo kaka mengi siandiki zaidi , uzuri hata huku CCM tunamuunga mkono
Pamoja na uzuri anaopambwa nao huyo Balozi, lakini kwa mwendo wake huo atalisalimisha jahazi tulilotaka lizame moja kwa moja.Balozi asibezwe Nina taarifa fulan, kwenye mahojiano na kamati fulan ya maadili kuna mambo kawakazia macho! Yule KOSWE akajing’ata
Nilichanganya madesa.Kwamba abaki NYAVU?
Nam kakaNilichanganya madesa.
"Hila" ni tamaduni na desturi za Samia na Genge lake.Haya mambo hayataki hila. Lazima ukweli, uwajibikaji then maridhiano yafanyike. Kinyume chake kila njia za hila ku solve itazaa matatizo mengine makubwa zaidi. Tunahairisha matatizo na kusuka mengine! Italeta matatizo mengi