Victor wa happy
JF-Expert Member
- Apr 24, 2013
- 11,660
- 11,664
Kun'goa watu kucha bila hatia????
Umesahau
Umesahau
Kwani himidi alikuwa kidagaa hujui kuwa alikuwa mbunge na alishawahinkuwa kuwa waziri twambie chadema wamefanya maamuzi gani zaidi ya maamuzi kibaguzi ya kumuonea zitto na wapigania demokrasia wengine narudia kusema hakuna kiongozi wa chadema au kikao chochote cha chadema kinachoweza kumfukuza zitto kumvua uongozi ilikuwa ni kutishia nyau.
sijawai hona wapinzani wazandiki kama hawa wachawi wakubwa wasiopenda maendeleo hapa duniani. mambo ya kike kike tu mmekalia.Mwananchi aliyehudhuria kituko hicho alifika kwa sababu mchele kama viroba 4 vilitangulizwa na nyama ng'ombe alichinjwa. Watu wale na kunywa fedha ya mhisani wa kisima. Elimu ya uraia ni muhimu zaidi hata ya kujua hizo sera za vyama. Tuleteeni elimu ya uraia, haya Mafisadi tutayatoa kama kule juu ya africa walivyo fanya. Ukitamka hicho, mafisadi na Maccm tumbo linawakata.
mchawi wa wananchi ni wale wote wanaompiga Mh. Zitto Kabwe.Wananchi wanafaham mchawi wao,wanacheka nae ila wanamsubiri aingie king 2015 watamnyoa kwa vigae vya chupa,wait and see..
sijawai hona wapinzani wazandiki kama hawa wachawi wakubwa wasiopenda maendeleo hapa duniani. mambo ya kike kike tu mmekalia.
Nimekeleka sana juu ya maamuzi ya Kawaida yaliyofanywa na CDM alafu watu wenye Mahaba na chama hiko Wanaita Maamuzi MAGUMU,tena wengine wanaenda mbali na kusema CCM iige Chadema(hili ndo limenikera kama mwanachama wa CCM)naangalia kilichofanywa CDM sioni UGUMU wake kwa hizo nafasi,eti CCM tujifunze kwa Chadema!!!!
Tujifunze nini hapo au siasa za majungu na za eneo moja,ulishawai kuona mbunge wa CCM anamtuhumu kiongozi wake katika CHAMA kupitia Mitandao,nawaambia mlichofanya ni kitu kidogo sana,labda uchanga wenu katika siasa mnaona ni maamuzi magumu....
CCM ndani ya miaka nane tumebadili makatibu wakuu CCM mara tatu,Makamba,Mukama,Kinana,sina uhakika kama tutafika nae mwisho,na haikugombanisha chama,wala majungu,au kuvuana nguo katika mitandao.Tumebadili manaibu mara tatu:Jakamwambi,Chiligati,Mwiguru,na hakuna aliekashiwa mpaka sasa.Je siku mkimtoa Silaa mtaita maumuzi gani?
Chadema kama kweli wanapenda kufanya maamuzi magumu,basi kipengere cha ukomo kirudi katika katiba yenu,pili mfanye uchaguzi mkuu wa chama,nafasi ya uenyekiti iwe huru kwa yoyote kugombea,mtangaze adharani mapato na matumizi ya fedha zote na zile za account maalum ya uchaguzi
#Ex CHADEMA simper aliquid novi#
Ubaguzi unaongelea ni upi mkuu?
Zitto ni mjumbe wa kamati kuu, mama yake ni mjumbe wa kamati kuu, Zitto ndio mbunge pekee wa kutoka Kigoma ana wabunge wa viti maalumu 3, mkoa wa Kilimanjaro una wabunge 3 wa kuchahiliwa una wabunge wa viti maalum 3 upendeleo uko wapi?
huu ni upuu uliopindukia, ufanye madudu kisha ujisifie? umbulula. mfa majihakosi kutapatapa.
kwa mandondocha kama wewe mko wengi chadema. mmekalia majungu mnafikili Watz hawaoni? Nchi haiwezi ikaongozwa na wauza tigo.ngeke..acha kutoa povu kwa hasira. Ukiambiwa ukweli ndio ucharuke hivyo? Ninayesema nawe ni juzi tu nilitokea huko baada ya macho kufunguka. Mkithubutu kutoa elimu ya uraia hakuna mtu atahudhuria mkutano wa kijinga kijinga kama hiyo mikutano yenu. Si unakumbuka tena kulee Igunga? Mahindi ya kupelekwa Musoma gari likapinda kona na kutua Igunga ati msaada wa njaa kumbe ni kuleta njaa igunga mpate kulaaa zetu? Shame on yu. 2015 mtasaga meno tuuu. Just mark ma words. Ndg yangu kimbia bado kungali na nuru
kwa mandondocha kama wewe mko wengi chadema. mmekalia majungu mnafikili Watz hawaoni? Nchi haiwezi ikaongozwa na wauza tigo.
na wenyeviti wangapi wa taifa wa CCM tangu 1977 ? ( Miaka 36)CCM ndani ya miaka nane tumebadili makatibu wakuu CCM mara tatu,Makamba,Mukama,Kinana,sina uhakika kama tutafika nae mwisho,na haikugombanisha chama,wala majungu,au kuvuana nguo katika mitandao.Tumebadili manaibu mara tatu:Jakamwambi,Chiligati,Mwiguru,na hakuna aliekashiwa mpaka sasa.Je siku mkimtoa Silaa mtaita maumuzi gani?
vi#